Nakichukia sana chadema ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa tundu lissu, godless, sugu,mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.
Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa serikali, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?
Jf' haki mmeinunua chadema, hadhi yake imepotea kwakuendeleza mapenzi yasio na mipaka, haya mod's ondoeni na haya mawazo yangu.
Andika hilo tusi la mbunge (wabunge) wa CHADEMA....
Mkuu hizo dalili njema ziko wapi kwa staili hii,ka nini ubishane na mjinga?!,wao kwa sababu ni waelewa wangelikuwa wanawaacha sisi si tunaona,sasa wao waelewa wanapojiingiza kwenye malumbano mwisho wa siku wanaonekana na wenyewe ni wajinga!.kwenye ukweli tuseme ili tukisaidie chama kama kweli kinaonekana kina nguvu,hivi kwanza uliona BANDIKO la Mzee Mwanakijiji?!.
Ni pale tu kiongozi wa eneo lolote hata baba nyumbani anapotendea haki wanafamilia yake basi huwezi kukuta ugomvi wa kijinga.Kama tu ungekuwa mtanzania uliyekuwa na uzalendo basi usingeshabikia kitendo alichofanyiwa Tundu Lissu.Je wajua ya kwamba Ndugai ameshusha heshima yake kw akupitiliza?Je ,wajua hadi leo hii hana amani sababu anajisuta mwenyewe ndani ya nafsi yake lakini hana cha kufanya sababu maji yameisha mwagika.Haijalishi mbunge kuomba radhi baada ya kuwakosea heshima watanzania.Kwangu mimi itabidi labda kwa viboko kumuita Mbunge yeyote wa CCM na hasa Spika na Naibu Spika waheshimiwa sababu wameshindwa kutuheshimu watanzania na hivyo hawana haki ya kuitwa waheshimiwa.Hata kama ni mapenzi ya chama chako angalia utaifa kwanza.Tanzania yetu sote.
Mkuu hizo dalili njema ziko wapi kwa staili hii,ka nini ubishane na mjinga?!,wao kwa sababu ni waelewa wangelikuwa wanawaacha sisi si tunaona,sasa wao waelewa wanapojiingiza kwenye malumbano mwisho wa siku wanaonekana na wenyewe ni wajinga!.kwenye ukweli tuseme ili tukisaidie chama kama kweli kinaonekana kina nguvu,hivi kwanza uliona BANDIKO la Mzee Mwanakijiji?!.
Usimdanganye mwenzio unataka ale BAN usikubali ndugu yangu anataka usirudi humu ndani.
Na wewe umesoma wapi au ni kama yule mbunge wenu shujaa wa matusi first class!! SSM mnatumia Revenue (domestic and foreign) plus Donor fund na mikopo (domestic and foreign) kufanya miradi na other charges!!! Hizi pesa si mali ya SSM!! Chama chochote kitakachokuwa madarakani kitatumia njia hizi hizi!! Nenda shule kasome au wewe ni mvivu kuwaza sources of any Government Revenue!!! Ha ha ha!! Kina Nchemba, Mwigulu wako wengi!! Anyway, ukishaenda shule uje uniletee hoja!! Nimekushangaa sana!! Ndivyo mnavyodangaya wananchi!!! Hawadanganyiki 2015 hata kwa hiyo mitambo yenu mnatengenezea china.Propaganda!!!! Eti wanatumikia wananchi.... Kwa lipi? Wameshajenga barabara hata ya nusu kilomita? Kama hawajajenga wanawatumikia vipi wananchi? Ninyi ninyi CHADEMA mtasambaratika sana ifikapo mwaka 2015. Sasa hivi ni kelele tu za mbwa mwenye njaa. Siku ya siku ikifika hamtaamini kabisa. Mwaka 2015 CCM kura 80% CHADEMA 10.5% CUF 7.5% na UPPT Maendeleo 2%!!!! Amini usiamini...................
Kwanza napenda uelewe kuwa CCM ukiwachekea utavuna mabua....vyama vyote vilivyopita walitumia staili hiyo ya wao kufuata kanuni na CCM kutofuata kanuni bungeni...wamefikia hapo walipofika...Lissu alitaka kanuni za bunge zifuatwe kama ulifuatilia scenario ya Lema,basi ni wazi ungeelewa Ndugai alikuwa anafanya nini kwa Nchemba.
Pili...bandiko la Mwanakijiji nadhani hukulielewa,kasome vizuri...yeye anahimiza CHADEMA kutoomba fair game kwa CCM wanatakiwa kupambana...and now they are struggling mkuu!
we na wewe sijui umeongea nini hapa kwanza ndo kwanza una mwezi so huna hata unalojua ndo nyie mliotumwa na mwigulu sio?nakichukia sana chadema ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa tundu lissu, godless, sugu,mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.
Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa serikali, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?
Jf' haki mmeinunua chadema, hadhi yake imepotea kwakuendeleza mapenzi yasio na mipaka, haya mod's ondoeni na haya mawazo yangu.
Acha propaganda...mtaje aliesema tusi...Msigwa kazungumza nukuu ya Biblia...Sugu kasema elimu ya kuunga unga na upumbavu...Wenje kasema impotent
Hayo matusi yako wapi[/QUOTE
Wewe ndo una Propaganda:Chagua hilo tusi halafu nilitaje!
Kwa hiyo wewe unaridhika na maamuzi ya kiti cha supika? Hebu naomba tuanzie kwanza hapo,hayo mabandiko sijui ya mwanakijiji ni mawazo yake yeye siyo Mungu.
Ungekuwa fair ungewataja Nchemba, Serukamba, kigwangala. Lkn kwa sababu ufisadi umekujaa kwenye ubonhgo utaropoka unavyo taka.
Acha propaganda...mtaje aliesema tusi...Msigwa kazungumza nukuu ya Biblia...Sugu kasema elimu ya kuunga unga na upumbavu...Wenje kasema impotent
Hayo matusi yako wapi[/QUOTE
Wewe ndo una Propaganda:Chagua hilo tusi halafu nilitaje!
Mtu alietukana bungeni ni Serukamba....hata ukiandika hapa JF inakataa....ningeandika kisukuma lakini nalo ni taboo hata kiswahili.....
Hapa ndipo ambapo huwa nashindwa kuelewa utofauti wa CCM na CDM maana CCM wakitukana na CDM nao wanatukana eti kisa CCM wametukana. Jamani tubadilike, mtoto baba akipee kwenye chungu cha mboga haimaanishi na wewe upee kwenye chungu cha mboga. CDM wanatakiwa wawe mfano bora wa ustaarabu ili watu wanotice utofauti wa CCM na CDM.
Kama ambavyo hata yako pia,kwa sababu wewe sio Mungu.OK?
Nchemba (mzinzi) serukamba, Lukuvi nawengineo kama hao hawashishi hadhi ya Bunge? Nadhani ni wakati wako kwenda limumba kupokea ujira wako kwa post yako hiiNakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.
Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa serikali, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?