Je Makinda na Ndugai wanaendeshaje bunge?Acha kuropoka binadamu si mbuzi akihisi haki yake kuminywa atajilinda kwa vyovyote.Unategemea wafanyeje kwenye bunge lenye upendeleo wa wazi kama huu?Tafakar kwa makini kisha ipe akili yako muda ikupe majibu.
Hawa wabunge Wa chadema wanapewa pesa za jimbo kila mwezi je wananchi wananufaika nazo wasituzuge kwa kelele zao bungeni msisahau waligoma posho hivi sasa wanavuta Mbowe ilikataa v8 sasa amelichukua
mzazi wako akikuchapa kwakosa ambalo haujalifanyala kumkaripia ndio njia sawa kuondoa uonevu huo? Chadema kama chama kinachojipanga kuleta ukombozi as they preach wanapaswa kuonyesha mfano.
hivi kweli haya ni mawazo,
mleta mada nahisi katumwa au kuna shida kwenye ufahamu wake.ni vizur kutokumjibu maana unaweza ukajikuta unaropoka kama mwigulu
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.
Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa dola, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?.
mpaka siku utakapo acha kufikiri kwa kutumia masaburi, ndiyo tutavua gwanda kwakuamini kuwa ukombozi kwa watu kama nyie wenye fikra mgando na kulishwa maneno kama kasuku mtakua mmejitambua.
Kila mwenye fikra tofauti na chama chenu ni mjinga kwenu tushawazoea.
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.
Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa dola, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?.
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.
Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa dola, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?.
Basi Chadema ni hatari sana na serikali ni dhaifu kupita kiasi! Kama hata usalama na polisi wanakisaidia kutekeleza haya mambo basi 2015 nchi itakuwa mikononi mwa opposition. Shida ya CCM wanadhani watanzania wa leo ni wa miaka ya 1990 (wazee, labda). Kizazi hiki kinachambua mambo isipokuwa wachache wanaoifaidi system moja kwa moja. Watu wanajua njia wanayotumia CCM ndio ile ile iliyotumika kuimaliza NCCR na CUF, hivyo hakuna geni. Inachotakiwa kufanya kama chama ni kujikita kwenye utekelezaji wa ilani ya uchaguzi kwani chama kinaposuka hujuma, mambo yanapoback-fire, inakimaliza zaidi.
Pole sana ndugu yangu!Wataalamu wa Sayansi ya Siasa(Political Scientists) wanasema kwamba "Any status quo will continue to exist when unopposed" Hivyo HADHI ya bunge si kukubali upuuzi ili mbunge aitwe Mh.!Hadhi ya bunge ni KUIKABA SERIKALI KILA KONA ILI KUHAHAIKISHA WANANCHI wanapata afueni ya maisha ..Mbunge yeyote asiye tayari kuikaba shingo serikali ndite anayeshusha hadhi ya bunge!Bunge na serikali ni timu pinzani!FAIR PLAY huwa haimaanishai kwamba uko tayari kufungwa!Mbunge aliye tayari bunge lishindwe kuikaba serikali ni sawa na mcheza mpira anayekususia kujifunga goli/au kuchukua hela ya timu pinzani kusudi acheze chini ya Kiwango!CHADEMA hawawezi kucheza chini ya kiwango maana wanajua kwamba UBUNGE wao hautokana na RUSHWA wala mizengwe!Wana mkataba na wapiga kura!