Wabunge wa CHADEMA Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini kuhojiwa

Habari za ndani ya uongozi wa juu wa Chadema nilizopata hivi punde zinasema Wabunge wa Chadema waliomo katika kamati ya Nishati na Madini inayovunjwa wataitwa mbele ya vikao vya juu vya chama hicho kujitetea kwa tuhuma za rushwa na ikithibitika walihusika wataombwa wenyewe wajiuzulu ubunge. Wakikataa watafukuzwa uanachama mara moja bila kujali nyadhifa zao katika chama.

Naupongeza uongozi wa CDM iwapo watachukua hatua hii -- na itakuwa fundisho kwa kile chama cha rushwa ambacho kulindana kwao ndiyo utamadauni wao bila kujali athari kwa wananchi masikini.

[h=2]Kati Ya Zitto Kabwe na Mbatia Nani anafanya kazi ya Kikwete????[/h]
Zitto na baadhi ya wabunge wa CCM wadaiwa kuhongwa na menejimenti ya TANESCO

GO9G9056.JPG
 
Habari za ndani ya uongozi wa juu wa Chadema nilizopata hivi punde zinasema Wabunge wa Chadema waliomo katika kamati ya Nishati na Madini inayovunjwa wataitwa mbele ya vikao vya juu vya chama hicho kujitetea kwa tuhuma za rushwa na ikithibitika walihusika wataombwa wenyewe wajiuzulu ubunge. Wakikataa watafukuzwa uanachama mara moja bila kujali nyadhifa zao katika chama.

Naupongeza uongozi wa CDM iwapo watachukua hatua hii -- na itakuwa fundisho kwa kile chama cha rushwa ambacho kulindana kwao ndiyo utamadauni wao bila kujali athari kwa wananchi masikini.

Unatoa pongezi hata bado hawajachukuliwa hatua yoyote subiri kwanza mpaka wafukuzwe.
 
Maamuzi mazuri lakini ni vema yakafanyika baada ya uchunguzi wa kina
 
We ndevu zimekuwa mzigo sasa, zimekuchosha umeanza kuongea *****. Nakushauri kazinyoe bana!!!!!!!
 
Kamdanganye mumeo au mkeo, hujui hata unachokiandika baada ya kukitunga.
Tunajua unataka kumlenga hasa Mnyika ambaye katu hajahushwa.

Ni bora hata ungeandika kuwa Chadema kuwavua uanachama wabunge watakaofahamika kuwa wamehusika na rushwa.

Herielly! please usiwe muoga, kama hizi habari ni kweli basi ni hatua nzuri sana kwa chama kinachotaka kuchukua nchi, personally ninamwamini Mnyika na ninadhani hawezi kuwemo kwenye huo mtego wa kitoto and kama atakuwemo basi ni hatua nzuri kwa chama kuweza kujisafisha na kuwa onyo kwa wengine, na isiwe kama CCM na kushindwa kuvua gamba, hivyo kuwa mpole acha CDM ifanye maamuzi ya kikubwa kama ni kweli
 
CDM hawana ubavu wa kumfukuza mbunge yeyote. Historia kuanzia yule waliye muuwa, Shibuda na Zitto.

laaana ya mauaji bado ina kuandama ndio maana hilo neno limekaa kwenye kichwa chako.

Unadhani kila mtu ana roho ya mauji ka uliyo nayo!
 
Back
Top Bottom