Wabunge wa chadema hongera kwa kuchangia zaidi bungeni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa chadema hongera kwa kuchangia zaidi bungeni.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kisendi, Jun 19, 2011.

 1. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Ni kweli hata wabunge wa viti maalumu wa chadema wanachngia point kuliko wabunge wa viti maalumu wa CCM kama akina ESTER wanachangia kusifia tu. Wabunge wa CDM hongereni endelezeni mapambano lakini mkumbuke kushukuru vyombo vya habari na pia WANA CCM wamewaangusha waliowachagua maana wanaona budget ina kasoro lakini wanaunga mkono. Kodi ya mafuta ipunguzwe kama kweli wanataka kutupunguzia mzigo wananchi.  Nawakilisha.

  CHADEMA DAIMA
   
Loading...