Said Bagaile
JF-Expert Member
- Jun 23, 2011
- 686
- 256
Lukuvi, Mary Nagu, Kigwangalla, Mwigulu Nchemba na Samwel Sitta hawakuwepo bungeni nini?Nakubaliana na wewe mkuu, coz Mnyika alirudia statement yake kama mara tatu hivi ili kuwatega. Lakini hakuna hata mmoja aliyeomba uthibitisho, hata NS alikuwa kimya.
Samwel Sitta na Lukuvi walikuwepo walijua alichoongea Mnyika ni cha kweli wakanyamaza kimyaaaa km kuku aliyemwagiwa majiLukuvi, Mary Nagu, Kigwangalla, Mwigulu Nchemba na Samwel Sitta hawakuwepo bungeni nini?
it makes sense!! hata mimi nilishangaa kwa nini hakuna M'bunge wa CCM au waziri aliyeomba ushahidi!!!
si ungeandika kiswahili tu. Sasa hapo umeandika niniif the rumor is true, i can see their logic simply bcoz they like power and they r not willing to expose their true colors
<br />Ni kweli kabisa hawa vilaza wa CCM wamepigwa mkwara.<br />
Kama kuna mtu anabisha aseme nitoe USHAHIDI.
Yaani hadi vichekesho sasa.
Nadhani sasa mbunge wa upinzani anapoweka wazi udhalimu fulani ni vizuri akawauliza wabunge 'mnahitaji ushahidi' nadhani Wabunge wa CCM kwa haraka haraka watajibu 'Hapana hatuhitaji'.
Waache wachimbane mikwara tuu......... Kuna namna nyingine ya kufanya.............. kwa mfano... Mnyika anaongea halafu Lisu anaomba ushahidi........AU ........... Mnyika anaongea.... Kafulila anaomba ushahidi......... INAKUWA KWISHNEIIII....Kuna Tetesi kwamba Wabunge wa CCM wamepigwa Mkwara na Chama chao kutokutaka Ushahidi toka kwa Wabunge wa Upinzani pale wanapowasilisha madai yao dhidi ya Serikali, kwani kwa kutaka ushahidi kumepelekea Wabunge hao wa Upinzani kuleta Ushahidi ambao umekuwa ukiiumbua Serikali na Viongozi wake kama ule wa Lema na Waziri Mkuu, ule wa Kafulila, ule wa Zitto na hata ule wa Tundu Lissu n.k.
Hii imepelekea hata jana Mh. Mnyika alipotamka kuwa anaushahidi kuwa kuna viongozi wa dola waliohongwa na Wafanyabiashara ya Mafuta hakuna Mbunge yeyote wa CCM aliyetaka Mh. Mnyika alete Ushahidi
Nawasilisha.