Wabunge wa CCM wapigwa Mkwara

Wenje: Chenge amekula mgao wa Radar ........
Lema: Muongozo wa Spika .......
Spika: Endelea Mh. Lema, tafadhali Mh. Wenje kaa chini subiri.
Lema: Naona Mh Wenje analiongopea Bunge, naomba alete Ushahidi wa alichosema kuwa Mh. Chenge alik....
Spika: Mh Lema haukusikia vyema, Wenje amesema Mh Chenge alikula ngano ya bada, endelea Mh Wenje
Wabunge Magamba: Huyoooooooooo Lema hasikii vizuri apelekwe General
Wenje: Mh Spika, narudia Chenge amekula ......... ( Mgaoooooo)

Assalam aleikum!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
nakubaliana na ww nilishanga sana nanilisema lazima magamba waombe muongozo kuhusu ushahidi lakini ikawa G itakuwa ni kweli

Hata Chadema wangeweza kuomba mwongozo sio lazima CCM tu . Kumbuka wabunge wote wana haki sawa ndani ya Bunge
 
Nimeipenda hii, itakuwa mbinu mbadala na ya kisayansi zaidi. Naam,Tundu akimwaga vitu kuhusu uchafu wa serikali na kiongozi Sugu anang'aka kutaka ushahidi na anakomaa kwelikweli sijui watatokea wapi.

Spika atakimbilia kupiga kura,...wanaoafiki waseme Ndiooooo, then wabunge wengi wa CCM watasema siooooooooooooooooooooooo! hapo tena basi ushahidi hautaletwa
 
Wacha wapigane mkwara- wataumbuka sana safari hii. Bado hata mwaka mmoja haujaisha. Kila ninapoona Mnyika anawaumbua mimi nakumbuka mikesha ya karibu siku 3 kulinda kura zake. Halafu najipongeza mwenyewe.

Hawawezi kuwafukuza, wata-apeal high court. Si ndivyo walivyosema kuhusu Chbudi wa CDM. Hukuna mkwara kwa mbunge.
 
Back
Top Bottom