Wabunge wa CCM wamegeuka mawakalà!

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Dec 13, 2009
3,398
319
Ukihiyo wa wabunge wa CCM umelifanya Bunge kukosa radha ya Moja ya Mhimili Muhimu kwa Nchi na kukosa Sifa ya Chombo cha Wananchi badala yake limekuwa kundi la wanasiasa wenye sura ya kihuni na hivyo kuharamisha Bunge kwa sababu wapo kwa maslahi ya Chama na Serikali na si maslahi Nchina wananchi.

Na hii ni kutokana Ukweli kwamba Bunge letu lilijengwa na Wabunge waliopatikana kwa njia Haramu ya uchanguzi uliokuwa umejaa uharamia hivyo hawana cha kupoteza.

Ni wakati Sisi vijana kujipima akili na ufahamu tujiweke katika eneo muhimu tuwe walinzi wa Nchi yetu wenyewe!

AU

Tuendelee kuketi kimya na kufurahia maisha na kusambaziana video za ngono kwa Jina la CONNECTION kugawana Dhambi huku wanasiasa walioamua kuwa wahuni wakituuza Sisi na uzao wetu kwa makusudi. Na sie tupo tupo tukiimba Am Single Ooooh you know Am Single Ooooh na dada zetu na wakikata viuno huku wakiimba nasema Nani anaweza kulicheza Sagarhumaaaaaaaaa

Kesho siyo mbali wenye watakapotwambia muondoke hapa aridhi na Nchi hii si Mali yenu.
 
Mkiitwa kwenye maandamano hamuendi kazi kutandika mabaobonye (keyboards) kwenye simu na vishikwambi vyenu na kujiapiza mitandaoni humu.

Kuna maandamano mengine Julai Mosi labda haya mtahudhuria. Vijana waoga kazi kulalamika tu 😬😬😬

20230622_141333.jpg
 
Hili ndio bunge lililotengenezwa na marehemu Kwa lengo la yeye Marehemu atawale Milele!! Mnakumbuka ila kauli iliyoongozwa na ******!??! Atake asitake ataongezewa muda wa urais!! Huyu mtu alikuwa hatari Kwa taifa ila wajinga hawakujua
 
Alituachia mzigo kama gonjwa ambalo linatutesa sasa kwa sababu hakuamini katika kujenga misingi endelevu katika rasilimali watu isipokuwa katika itikadi zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkiitwa kwenye maandamano hamuendi kazi kutandika mabaobonye (keyboards) kwenye simu na vishikwambi vyenu na kujiapiza mitandaoni humu.

Kuna maandamano mengine Julai Mosi labda haya mtahudhuria. Vijana waoga kazi kulalamika tu

View attachment 2666796
Ume justify vipi kujua kama mwandishi hajahusika na unachokidai au ni kwa sababu Una nafasi ya kubakasa katika keypad ya simu yako baada ya kushiba vyapati kwa street

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ume justify vipi kujua kama mwandishi hajahusika na unachokidai au ni kwa sababu Una nafasi ya kubakasa katika keypad ya simu yako baada ya kushiba vyapati kwa street

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni yupi kati ya hawa waandamanaji waliokamatwa na kulala Sentro? 👇👇

IMG-20230621-WA0001.jpg

Wadanganyika hakuna kitu. Ni kubwabwaja mitandaoni humu na kuporomosha matusi tu ili kuondoa siteresi. Ikija kwenye kuchukua hatua kimyaaa! Na sasa mnauzwa laivu na hakuna kitu mtafanya.

Njoo tule vyapati huku kwa mama ntilie tushibe tupate nguvu za kuendelea kubwabwaja kwenye keyboard.

Ushauzwa - wewe, wanao, wajukuu, vilembwe na uzao wako wote! Anzeni tu kujifunza Kiarabu maana hakuna namna 😁😁😁

Pathetic!

IMG-20230623-WA0004.jpg
 
Hili ndio bunge lililotengenezwa na marehemu Kwa lengo la yeye Marehemu atawale Milele!! Mnakumbuka ila kauli iliyoongozwa na ******!??! Atake asitake ataongezewa muda wa urais!! Huyu mtu alikuwa hatari Kwa taifa ila wajinga hawakujua
Sasa hayupo na kuendelea kumlalamikia won't change a thing? What do we do now, sir?
 
Wewe ni yupi kati ya hawa waandamanaji waliokamatwa na kulala Sentro?

View attachment 2666982

Wadanganyika hakuna kitu. Ni kubwabwaja mitandaoni humu na kuporomosha matusi tu ili kuondoa siteresi. Ikija kwenye kuchukua hatua kimyaaa! Na sasa mnauzwa laivu na hakuna kitu mtafanya.

Njoo tule vyapati huku kwa mama ntilie tushibe tupate nguvu za kuendelea kubwabwaja kwenye keyboard.

Ushauzwa - wewe, wanao, wajukuu, vilembwe na uzao wako wote! Anzeni tu kujifunza Kiarabu maana hakuna namna

Pathetic!

View attachment 2666985
You are a completely crooked brother trying to hide your foolishness ina bird's feather shadow why umekuwa so bitter from point of thoughts unapaswa kupambana kwa style yako na wengine tupambane kwa style yetu kwani ukinitambua from that foto then what's next.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are a completely crooked brother trying to hide your foolishness ina bird's feather shadow why umekuwa so bitter from point of thoughts unapaswa kupambana kwa style yako na wengine tupambane kwa style yetu kwani ukinitambua from that foto then what's next.

Sent using Jamii Forums mobile app
Spewing nonsense, vulgarity and name-calling online won't change a damn thing young man....and don't direct your misplaced anger at me. Channel it to the crooks who have sold you and your future generations forever! 😁😁😁🖐

...na siku nyingine ukiitwa kwenye maandamano usijifiche kwenye keyboard kama kweli we ni mzalendo. Vinginevyo anza kujifunza tu Kiarabu maana hakuna namna. The Arabs are coming - to stay! 😁😁😁

IMG-20230621-WA0017.jpg
IMG-20230620-WA0030.jpg
IMG-20230620-WA0017.jpg
IMG-20230620-WA0013.jpg
 
Bros sikuuleta hapa kuutafutia fame t'was just a way kushare what's on my side. Ndugu yangu sidhani kama Uzi unahitaji kuwa hot so to gain something. No No that's not my intention

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa nakuchemsha tu mkuu ili nione what you are real made of. Kinachotokea hakifurahishi. Tuendeleeni kupaza sauti kila mtu kwa namna yake maana inavyoonekana hakuna njia nyingine. Na labda watatusikiliza maana kama walivyosema Waroma wa kale "Vox Populi, Vox Dei! 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️

IMG-20230621-WA0002.jpg
 
Wewe ni yupi kati ya hawa waandamanaji waliokamatwa na kulala Sentro?

View attachment 2666982

Wadanganyika hakuna kitu. Ni kubwabwaja mitandaoni humu na kuporomosha matusi tu ili kuondoa siteresi. Ikija kwenye kuchukua hatua kimyaaa! Na sasa mnauzwa laivu na hakuna kitu mtafanya.

Njoo tule vyapati huku kwa mama ntilie tushibe tupate nguvu za kuendelea kubwabwaja kwenye keyboard.

Ushauzwa - wewe, wanao, wajukuu, vilembwe na uzao wako wote! Anzeni tu kujifunza Kiarabu maana hakuna namna

Pathetic!

View attachment 2666985
 
Nilikuwa nakuchemsha tu mkuu ili nione what you are real made of. Kinachotokea hakifurahishi. Tuendeleeni kupaza sauti kila mtu kwa namna yake maana inavyoonekana hakuna njia nyingine. Na labda watatusikiliza maana kama walivyosema Waroma wa kale "Vox Populi, Vox Dei!

View attachment 2667417
Naweza kuwa Mimi ufahamu umekosa maarifa nikaamka kwa sababu ya madini ya mtu mwingine...

Yep vijana na Watanzania kwa ujumla wetu swala la Heshima ya Taifa letu halipasi kuliebeba kivyama tutafeli na uzao wetu baadae utatucheka

Leo hii tunawasoma kina Chief Mkwawa, Kina Sapi, Kina Kimweli n.k .........kwa sababu ya Sifa yao njema na namna walivyojaribu kujipigania Kikaya na kijamii. Lakini kama wangekuwa as kina Kitenge Leo their story today could be an interesting

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom