Wabunge wa CCM waliowakaanga Mawaziri kwa kutegemea kuvaa viatu vyao waambulia Patupu


huu ni uelewa finyu wa masuala ya kisiasa na ni fikira hasi kwa maendeleo ya nchi na ccm kwa ujumla.hao ulio wataja waliamua kwa dhati kupigania maslahi ya nchi na si mara ya kwanza kufanya hivyo kwani wamekuwa mstari wa mbele kusimamia maslahi ya nchi bungeni hata kama hoja katoa mbunge wa upinzani.Hapa tatizo kuna wana CCM wenzangu wenye mawazo potofu kama ww kwamba hoja ikitolewa na mbunge wa CDM,CUF au NCCR wasiunge mkono coz wana wanawapa umaarufu au wanakicost chama. hizi ni fikra duni na ni siasa za kizamani sana zinazo rudisha nyuma demokrasia. kwa faida yako lizabon rejea misimamo ya wabunge kama Tuntemeke sanga,emanuel mwambulukutu, njeru kasaka, Thabita siwale na wengine wengi. tazama walivyo kuwa na misimamo kwenye masuala ya kitaifa. acha siasa nyepesi kaka
 

Mkuu, kwA hakika kuna mengi kwenye sakata la escrow. Waliokuwa na misimamo imara tumeona. Ila mavuvuzela yaliyotegemea kupata uwaziri tumeyaona pia
 
Hawa sasa wakakula Mapesa ya mengi, ni aina ya wabunge wapigaji kupitia migongo kama hii ya escrow na skendo zingine
 
Hawa sasa wakakula Mapesa ya mengi, ni aina ya wabunge wapigaji kupitia migongo kama hii ya escrow na skendo zingine

Reginald Mengi amepiga patupu. George Simbachawene ni kichwa maji. Udalali hauruhusiwi chini ya utawala wake
 
Opportunist utawajua kwa maneno yao,

kwa mawazo kama haya inawezekana yanayosemwa ni kweli kuwa kuna members humu wanalipwa kwa idadi ya post wanazo post.
 
Hawakuamua kwa dhati kupigania masilahi ya Nchi walikuwa wanajali matumbo yao. Pesa za Mengi ziliwalewesha walikuwa hawana Uchungu na chochote zaidi ya kumfurahisha Mengi tu.
 

Kuwa mzalendo walivyoweka wazi inamaana ni kuwakaanga wenzao?
 
mkuu mmeanza kupinga wenyewe kwa wenyewe lumumba leo hamjaamka vizuri au ndo kuchanganyikiwa

Mkuu, ni mambo ya kawaida kwenye mijadala hii. Naamini kwamba atakuwa ameteleza tu
 
Embu kuwa mzalendo hata kwa dakika tano.hivi wewe mpaka watu wamepwlwkwa mahakamani na nchi imekoss misaada bado huamini kama kulikua na ubadhirifi katika Escrow.?
 

Hivi kilichokuwa kinatetewa pale ni maslahi mapana ya nchi au uwaziri? Basi makubwa. Maana hata hao waloteuliwa ni kwa ajili yakulinda maslahi ya watu flan flan, ndani ya chama cha majambazi ukiwa mkweli lazima utengwe
 

N wewe unayetetea uovu umepewa nafasi gani? Na uhakika ni sifa mojawapo ya angalau kuwa na ka nafasi CCM!
 
Waliopewa uwaziri wapo ndani ya hayo maneno matatu
 

Attachments

  • 1422163433798.jpg
    51.1 KB · Views: 217
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…