TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,807
Wanaoina future wameelewa.Siku CCM ikipoteza dola,atabaki mwenyekiti tu na safu yake na itabidi waanze upya kutafuta wanachama na kuwapata itakuwa ni kazi ya ziada.
Najua Ni Kwanini CCM walikuwa na Hofu sana ya Kuona Wabunge Mahiri wa EALA wanatoka Chadema, Ukiacha yule Kijana Mwenye PHD ya kweli sio ya Kufanyiwa kama Ba-Bashite Niambie ni Nani Makini kati ya waliowapeleka. Wamemkataa Pr. Abdala Safari, Laurence Masha etc, Yote ni ili Kule kenya wasiwaulize Kama ninyi Mnatema Lugha ya Malikia hivi? Ba-Bashite amelogwa na Nani? Je PHD yake ni Kweli au naye apitiwe na Ndalichako?Ya CCM hayawahusu!
Jadilini kwanini Wenje kapata kura 34 na Masha kapata kura 44 baada ya Spika Ndugai kukubali ombi la baadhi ya Wabunge wa Chadema kuomba kwenda kupiga kura kwa Siri pale mbele
Na Bashite! Bashite anampa Koromije na Baada ya hapo atampa U-PM na Nape ni Bora aanze kujikita Jimboni kwake na kabla ya May 2020 Ayeyuke na Mioyo ya Wapiga Kura Maana Nape keshapigwa X kubwa hata angeliliwa Machozi ya Damu.hahaha nasikia now anahusika moja kwa moja na uteuzi wa wagombea ubunge
hapo 2020 atakua na wabunge dizaini ya ali kesi
Baadhi ya Wabunge Makini wanaohoji Mambo CCM wameanza Kutishiwa kuwa wasipobadili Mienendo yao watapokonywa Majimbo yao katika Kura za Maoni 2020. Na ni wengi hasa kiasi cha kuwa hata Speaker hawezi kuwa spared kama hatacheza Ngoma ya Koromije!
Vitisho hivi sio official ila vinapenyezwa na aina za Wale wabunge wanaotamani kulia bunge likiwa live, Wale wanaosema Kuku zilipe kodi na Rambirambi zikatwe kodi. Na kuna ambao walishabugi hata kama wakifanyaje Ba-Bashite ameshawaweka X. Sasa ndio hapo inabidi wawe na Mikakati ya kufa na Kupona.
Na ndio Maana huwa nawaambia hawa wabunge kuwa kushiriki kuua Upinzani ni sawa na Kuchoma Ngalawa kisa Umenunua Myumbwi. Mkiutetea Upinzani Kihalali, Mkiusaidia Usihujumiwe, na sio Lazima kufanya makubwa ya Kuonekana wasaidieni kujua siri za hujuma etc. Upinzani ukiwa na Nguvu, ikikaribia 2020 hawa waliyoyadhamiria wakifanya Kweli? Mtakuwa na Pakwenda kupigania Majimbo yenu.
Kwa sasa hawa Wabunge waliowengi hata wakijifanya kutetea nu 5 kwa kidizaini, Jamaa alishadhamiria. Haya msiseme hamkujua. Na najua wengi Mnajua Nawaambia nachosema. Kingine Jitahidini sana Kushikamana na Wananchi wenu kwenye shida na Mali ili siku mkikatwa, Na mioyo ya Wananchi wenu iende nanyi mtakakokwenda!
Najua Ni Kwanini CCM walikuwa na Hofu sana ya Kuona Wabunge Mahiri wa EALA wanatoka Chadema, Ukiacha yule Kijana Mwenye PHD ya kweli sio ya Kufanyiwa kama Ba-Bashite Niambie ni Nani Makini kati ya waliowapeleka. Wamemkataa Pr. Abdala Safari, Laurence Masha etc, Yote ni ili Kule kenya wasiwaulize Kama ninyi Mnatema Lugha ya Malikia hivi? Ba-Bashite amelogwa na Nani? Je PHD yake ni Kweli au naye apitiwe na Ndalichako?
Hiyo Ndiyo hofu sio Kingine, Yaani Badala ya Kuweka Taifa Mbele Mnaendeleza Dhana ya "Wote tukose"
Na ukiangalia Idadi ya wabunge wa Chadema ni Kama Mia hivi na almost 98% ya kura za Wabunge wa chadema zilienda kwa Masha, Wenje na Safari. Waliochaguliwa wale wamama ni Kura za Wabunge wa CCM. Ila Chadema Pumbavu sana walichaguliwa wabunge kwa Kuwa hawasikii Ushauri Nilishauri Wawaweke, Masha, Safari na Wema Sepetu au Masha, Wenje na Wema Sepetu, hapo wangewatega CCM kwani CCM walikuwa na Beef na Wote watatu lakini ndio Hivyo sikio la kufa!
Pale hapakutakiwa Utaifa, CCM waliwachezea Chadema Mchezo Mchafu kuanzia Mwanzo! Ila chadema hawashauriki, Kwenye siasa hakuna Kuwa Mr. Nice, Wangewaweka Masha, Safari Wenje na Wema Sepetu, wangekuwa wamewabana Maccm kama mijusi ukutani, kwani Hao wanaume watatu hawawataki na Wema hawamtaki, na hakuna kura za ndio na hapana. Kwa asilimia 100% Wamama wale walichaguliwa na CCM. Kwa hiyo realy walitoka Chadema lakini kwa Matakwa ya CCM what an insult. Sina Lugha nyingine ha Kusema ila Chadema waliingiziwa Vidole na CCM kusikosemeka. Na wanastahili, wanakiburi cha kipumbavu sana hawasikilizi ushauri. Mimi sikushauri wamweke Wema Kimaslahi ila Kuwafanyia CCM hujuma ten times over, kwenye siasa mtu akikupiga rungu unamjibu kwa mizinga na vifaru! Chadema hili hawalijui wanajifanya Malaika.Tatizo pia ni viongozi wa Upinzani hasa Chadem, ni wabinafsi sana sana.
Mbowe ana walakini kwenye suala la utaifa anapoona maslahi binafsi.
Kwa nini wasingeweka majina ya Wenje ,Safari,Masha na mwanamke mmoja?
Hatuna upinzani wa maana kwa kweli.
Watanzania wanapenda upinzani ila viongozi wa upinzani ni bure kabisa. Hamna mipango ya mbali.
Wakina mbowe na wenzake wakasomee sayansi ya siasa kuelekea 2020 vinginevyo wataanza kugombania majimbo kama Segerea.
Pale hapakutakiwa Utaifa, CCM waliwachezea Chadema Mchezo Mchafu kuanzia Mwanzo! Ila chadema hawashariki, Kwenye siasa hakuna Kuwa Mr. Nice, Wangewaweka Masha, Safari Wenje na Wema Sepetu wangekuwa wamewabana Maccm kama mijusi kwani Hao wanaume watatu hawawataki na Wema hawamtaki, na hakuna kura za ndio na hapana. Kwa asilimia 100% Wamama wale walichaguliwa na CCM kwa hiyo realy walitoka Chadema lakini kwa Matakwa ya CCM. Sina Lugha nyingine ha Kusema ila Chadema waliingiziwa Vidole na CCM kusikosemeka. Na wanastahili wanakiburi cha kipumbavu sana hawasikilizi ushauri. Mimi sikushauri wamweke Wema Kimaslahi ni Kuwafanyia CCM hujuma ten times over, kwenye siasa mtu akikupiga tungu unamjibu kwa Kifaru! Chadema hili hawalijui wanajifanya Malaika.
Ningekuwa Chadema by 2019 Hivyo Vibombadia Vyote Vingekuwa Juu ya Mawe, si mtindo ni kuhujumiana sio! Ila aku geuza shavu, utavujwa mataya! Kila la heri Malaika wapenzi Chadema!
Dah! Nisaidie "lugha" ili twende sote. Hii term Nu-5 hii, embu nifasirie ili usiniache.Na Bashite! Bashite anampa Koromije na Baada ya hapo atampa U-PM na Nape ni Bora aanze kujikita Jimboni kwake na kabla ya May 2020 Ayeyuke na Mioyo ya Wapiga Kura Maana Nape keshapigwa X kubwa hata angeliliwa Machozi ya Damu.
Mwingine hizo ni prediction zangu tu, mtashangaa Watanzania Iwapo Ba-bashite atakuwa anamtaka Tulia Kuwa Speaker 2020 hilo pia liko ndani ya uwezo wake wa mstari wa kalamu! Kama mnahisi Mtaona Tulia anaongoza kwa Diplomasia sana siku hizi. Ingawa Kisayansi Binti huyu ni Mjanja sana, bado Anakingia kifua Nu-5. Ila anajua Nu 5 akimfuungulia njia wazi 2020 bado anahitaji kura za Wabunge wakiwepo wapinzani ili awe Speaker. Ndio kisa sasa hivi kawa Mjanjaaaaaa! We unadhani ni nini!
Mbowe anakazi ngumu kiasi huwezi Fahamu, Kazi ya Siasa ni Mateso sana hasa Ukiwa ni Kiongozi! Ila hill la Kupuuza Ushauri Chadema nj Mabingwa!Ni kweli kabisa siasa ni mipango na mbinu tu.
Dr.Slaa pamoja na kukikimbia chama lakini alikua ni bingwa wa mbinu za kuhujumi serikali kisiasa kwani alisababisha serikali ya JK ionekane haijafanya CHOCHOTE kwa muda wote mpaka sasa watu ndio wanagundua kumbe JK kuna mema aliyokua amefanya.
Chadema wasipokaa na kupokea maoni ya watu watashindwa vibaya.
Watu ndiyo source ya elimu na ushindi wa kisiasa. Nyerere alikua anacheza bao na kunywa kahawa uswahilini ili ajue watu wanasemaje na wanamshaurije wale wasi na fursa ya kufika ikulu.
Hii ilimsaudia kutengeneza Propaganda.
Hata awamu hii ya Tano inawavuta sana watu wa chini pamoja na ugumu wa maisha uliopo kutokana na kutumiw mbinu na Propaganda zinazofanana sana na za Dr. Slaa.
Hata Dr. Slaa angetawala Tanzania angetawala kama ilivyo sasa. Awamu hii inaelekea walifuatilia kwa karibu sana Siasa na Propaganda za Dr. Slaa ili waweze kuwateka watu wa Chini wanaowaita wanyonge.
Sasa Mbowe asiposhtuka na kuingia mitaani na kutafuta ushauri kwa udi na uvumba kamwe hataweza kushindana na utawala huu kisiasa. Bora awapushe wengine wenye mbinu na mipango na Propaganda sawia za kisiasa.
Mbowe kuna wakati anapitiwa na kuwa mbinafsi na mroho aliyepituliza.Ni lazima akubali kutulia na kusikiliza hasa anapoona CCM wanakua na jambo linalotaka kuingilia mambo ya ndani ya CDM. Umakini unahitajika vinginevyo anapeleka chama shimoni.
Awamu ya Tano yaani Number 5 eg Us Clinton alikuwa Nu 42 Bush Nu 43, Obama Nu, 44 Tanzania Nyerere NU-1 Mwinyi NU-2 Mkapa NU-3 Kikwete NU-4 Lowassa NU-6Dah! Nisaidie "lugha" ili twende sote. Hii term Nu-5 hii, embu nifasirie ili usiniache.
Hahahaha, aibu jamani! Naona conscious zao zimekuwa smeared by hot iron!Ya CCM hayawahusu!
Jadilini kwanini Wenje kapata kura 34 na Masha kapata kura 44 baada ya Spika Ndugai kukubali ombi la baadhi ya Wabunge wa Chadema kuomba kwenda kupiga kura kwa Siri pale mbele
No anaamini Atakwapua Urais Kwa Nguvu, Naweza Kuapa Mbele za Mungu Magufuli huo Ndio Mpango wake! La sivyo aruhusu Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya kabla ya 2020! Hawezi. Ila mimi naamink kwa Moyo wangu wote 2020 Magufuli hatakuwapo-raisHivi msukuma a naamini atashinda 2020?
Nilitegemea ungeleta ushaidi no wabunge gani? jinsi wanavyotishiwa wanatishiwa na nani na lin ? kulilko kuleta mihemko Yako ya kinyumbu. Uchaguzi Wa EALA unaonesha wazi jinsi ccm walivyo wamoja.au hilo umeshalisahauBaadhi ya Wabunge Makini wanaohoji Mambo CCM wameanza Kutishiwa kuwa wasipobadili Mienendo yao watapokonywa Majimbo yao katika Kura za Maoni 2020. Na ni wengi hasa kiasi cha kuwa hata Speaker hawezi kuwa spared kama hatacheza Ngoma ya Koromije!
Vitisho hivi sio official ila vinapenyezwa na aina za Wale wabunge wanaotamani kulia bunge likiwa live, Wale wanaosema Kuku zilipe kodi na Rambirambi zikatwe kodi. Na kuna ambao walishabugi hata kama wakifanyaje Ba-Bashite ameshawaweka X. Sasa ndio hapo inabidi wawe na Mikakati ya kufa na Kupona.
Na ndio Maana huwa nawaambia hawa wabunge kuwa kushiriki kuua Upinzani ni sawa na Kuchoma Ngalawa kisa Umenunua Myumbwi. Mkiutetea Upinzani Kihalali, Mkiusaidia Usihujumiwe, na sio Lazima kufanya makubwa ya Kuonekana wasaidieni kujua siri za hujuma etc. Upinzani ukiwa na Nguvu, ikikaribia 2020 hawa waliyoyadhamiria wakifanya Kweli? Mtakuwa na Pakwenda kupigania Majimbo yenu.
Kwa sasa hawa Wabunge waliowengi hata wakijifanya kutetea nu 5 kwa kidizaini, Jamaa alishadhamiria. Haya msiseme hamkujua. Na najua wengi Mnajua Nawaambia nachosema. Kingine Jitahidini sana Kushikamana na Wananchi wenu kwenye shida na Mali ili siku mkikatwa, Na mioyo ya Wananchi wenu iende nanyi mtakakokwenda!