Wabunge wa CCM msimuige Hussein Bashe


Pumbavu wewe Ulimboka alitekwa Kenya na Kibanda alitekwa Rwanda acha kupotosha wewe na kwa bahati nzuri wanywa viroba ndiyo wanaotekwa kwa umalaya wao je Ulimboka unaweza kumlinganisha na huyo mcheza kiduku wenu ??
 
Usituondolee hoja yake! Alikataa unafiki wa Simbachawene. Kusema Zitto alete ushahidi kuhusu watu kuteswa na Tiss.

Yeye Bashe ni mhanga ndiyo maana ameongea kwa hisia.

Yuko radhi kufukuzwa chama ikionekana kukataa kwake unafiki wa CCM ndiyo sababu ya kuvuliwa uanachama.

Lakini kumbuka chama chenu kinafukuza watu hovyo na pia hawapewi nafasi kujieleza. Viongozi wachache wanakaa na kuwafukuza wanachama.

Bashe hataki unafiki. Hayo mengine ni stori yako tu
 
Acheni ujuha nyie mazuzu.wanafiki wa kubwa...
Kibanda alitekwa ktk utawala huu?yule ulumboka nae je??

Upofu wenu pelekeni hukohuko kwenu na familia zenu
 
Huyo hakutekwa..aseme alikuwa kwenye shughuli zao za chama..ikatokea hali ya wao kushindwa kuelewana..na ndio maana siku ile alipohojiwa na azam TV alisema Katibu ataliongelea..hivi kweli inakuja atekwe yeye kisha Katibu alizungumzie..??
Huyu yupp kwenye harakati za mwisho za mfa Maji..urais wa lowassa umempa frustrations..yaani Bado haamini
 
Acheni ujuha nyie mazuzu.wanafiki wa kubwa...
Kibanda alitekwa ktk utawala huu?yule ulumboka nae je??

Upofu wenu pelekeni hukohuko kwenu na familia zenu
Hapana haukuwa utawala huuu ulikuwa wa Chadema
 
Hapana haukuwa utawala huuu ulikuwa wa Chadema
Akili fupi sana ...hizo ndoto mnazoota zitawapa uchizi.

Toka lini wehu wakashika dola???

Utawala wa jpm ni tofauti na tawala zilizopita!Mtanyooka tu
 
Yetu macho,lakini sitegemei Magufuri kugeuka jiwe,ni wazi Bashe na kundi lake watasimamishwa au watafutwa kabisa uanachama pammoja na ubunge.Sio mara ya kwanza chama hicho enzi za TANU walifukuzwa wabunge zaidi ya 10 kwa pammoja kwa mambo ya kutofautiana na serikali ya Nyerere
 
Kweli haya post yako ni kknafki
 

Hivyo wewe ndo mwenye akili kuliko wabunge wote hadi ujifanye kuwapa ushauri,mshauri kwanza mumeo kuchepuka then uje ushauri huku
 
Kwanza anamalizia mda wake nina uhakika hatarudi 2020,,,ni yale mapandikizi ya babu wa mvi
 
Mbona walivyotekwa kina ulimboka walikaa kimya na hadi leo ukiwauliza ulimboka yuko wapi hao wabunge hawajui?? Ukitoa tukio la Roma nani mwingine ametekwa?? Maana Ben Saanane ilishakatàzwa kuzungumzia na mbowe..na T-shirt mlizonunua mkazivua..
Sio hivyo pekee mkuu bado pia hizovzote ni kikibzabwauza madawa tu baada ya kuminywa,kama ni utekaji hayo mambo hayatikei tu kwa jpm hata kwa jk yalitokea na umetoa mfano wa ulimboka walikuwa wapi? Hata kama mbowe alikataa kuliongelea la ben je wao kama bunge wamezimwa pia? Na kwann mbowe akatae kuingelea hilo then wakae kimya? Why kina roma tu ndo wamewaka kama nn

Hao waache kiki tushawapuuza kwanza wengi ni timu mamvi na membe.

Wananchi walio wengi hawana hata hizi mitandao ya kijamii hvyo hata hawajui kinachoendelea ndo maana sisi wa humu tuungane kumtetea rais wetu ili azidi kupiga kazi
 
Taifa lipi!?
 
Bashe no sawa na MFA maji haachi kutapatapa, bosi wake fisadi papa keshakikimbia nchi amebaki yeye akijaribu kupigania na kulinda miradi ya bosi wake mkuu fisadi papa.
 
Tatizo linalowakabili hivi sasa CCM ni Suala la *Itikadi ya chama chao* Watu wakizungumza ukweli mwisho wake wanapewa adhabu.Kwa hili alilozungumza Bashe ni la ukweli ila kwa upande wa chama chake amevunja mipaka hivyo basi ategemee adhabu.Sisi raia tumechoka na vitendo hivi vinavyoendelea,havifuraishi hata kidogo.
Ushauri kwa Raisi.
Naamini we ni msomaji wa social media sana na ni fan wa Jamii forum hata kama uliwai kusema unapuuzia mitandao.Mh. Rais,yapo mambo mengi uliyoyafanya mazuri tu mpaka hivi sasa.Ila pia yapo mambo mambo ambayo si mazuri pia uliyoyafanya.
Mh. Rais,umetengua uteuzi kwa watumishi wengi wa serikali ,wengine bila hata kosa.Mfano,Lawrence Mafuru alikua na kosa gani aliposema kuweka Fixed deposit si dhambi.
Mh Rais,watu uliowachagua ukiamini hawatakuangusha wanaishi na wewe kinafki.Kimtazamo wako na wewe ila kwenye mioyo yao wapo tofauti sana na wewe.Kwa hili,Muda ukifika utaelewa nachokisema.Mh Rais,huku mtaani hali ya maisha si nzuri kama unavyoambiwa na washauri wako.Unemployment is a timing Bomb,a threat,Curse to your next election.Mpka sasa Serikali katika ishu ya kuwaajiri walimu imeonekana imeshindwa.mtaani kuna awamu 3 so far wapo mtaani jobless na viongozi waliwapa moyo ikiwemo wewe kuwa ajira zitatoka.Mpaka hivi sasa ni vapour tu.Hasira zipo nyingi kila kona ila kwa yangu machache ni hayo.
 

Kuna siku utajitambua!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…