Wabunge Uganda Wanunuliwa 'iPads'


SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2010
Messages
8,485
Likes
2,819
Points
280
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2010
8,485 2,819 280
5 Disemba 2013 17:20 [h=2]BC[/h][h=2]BBC[/h]

Kumezuka malalamiko nchini Uganda baada ya wabunge kununuliwa tabiti au (iPads) kwa pesa za Umma.
Afisaa mkuu wa Bunge amesema kuwa tabiti hizo zitawafanya wabunge kuwa makini wakati wa vikao vya bunge.
Kamishna wa bunge Emmanuel Dombo amesema kuwa wabunge sasa wanaweza kupata stakabadhi zao rasmi wakati hata wakiwa nje ya ofisi zao au wakiwa safarini.
Pia alisema kuwa pesa walizonunulia iPad hizo zitasaidia kuepuka kutumia kiwango kikubwa cha karatasi na kupunguza gharama ya matumizi.
Wabunge wote wa bunge la Uganda ambao idadi yao ni 375, wanunuliwa zilizogharimu kima cha dola laki tatu na sabini.
Wakosoaji wanahoji ikiwa wanasiasa wanajua hata kuzitumia tabiti hizo na kusema kuwa tayari wananchi wanalipa pesa nyingi sana kwa mishahara ya wabunge
Mwaka jana wabunge wa Uganda walipiga kura kutaka mishahara na marupurupu yao kuongezwa kwa asilimia arobaini.
Pia walipokea marupurupu ya zaidi ya dola 40,000 ili kujinunulia gari jipya.
Mbunge wa Uganda kwa sasa hulipwa, dola elfu nane , ingawa nchi hiyo inakumbwa na matatizo ya kiuchumi.
Wananchi wanasema kua hatua hii ya serikali ni kuharibu pesa za mlipa kodi, ikizingatiwa kuwa wabunge hao wanalipwa mishahara ya juu ambayo inawawezesha kujinunulia vifaa hivyo wao wenyewe.

http://www.bbc.co.uk/swahili/mobile/habari/2013/12/ 
Mwl.RCT

Mwl.RCT

Verified Member
Joined
Jul 23, 2013
Messages
7,412
Likes
4,463
Points
280
Mwl.RCT

Mwl.RCT

Verified Member
Joined Jul 23, 2013
7,412 4,463 280
  • Shaka yangu, Je zitatumika kama ilivyo kusudiwa?
 
Kigogo

Kigogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2007
Messages
20,563
Likes
1,597
Points
280
Kigogo

Kigogo

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2007
20,563 1,597 280
safi sana ...ila wasiwe wanatumia kuangalia chawabu
 
MBIIRWA

MBIIRWA

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Messages
2,383
Likes
4,488
Points
280
MBIIRWA

MBIIRWA

JF-Expert Member
Joined May 24, 2013
2,383 4,488 280
Ikiwa hapa kwetu kuna wabunge wataziacha mle bungeni, Prof. Maji marefu ataweza kutumia tabiti
 
Joseph

Joseph

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2007
Messages
3,524
Likes
93
Points
145
Joseph

Joseph

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2007
3,524 93 145
Inaonesha wabunge wao wana uelewa mkubwa wa matumizi ya Ipads ingawa haikuwa busara kuwanunulia na ingefaa wanunue wenyewe.
 

Forum statistics

Threads 1,261,869
Members 485,352
Posts 30,106,562