emmanuel mhecha
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 933
- 543
Nimewashangaa wabunge kumaliza pumzi kwa kusema ndiooo! Badala ya kuandaa sheria kali kama CHINA ya kuwashughulikia wahusika watakaobainika wanajishughulisha na madawa ya kulevya.
Hahaha pembe za ndovu tena,naona mnataka kuanzisha ugomvi na akina fulani.Nimewashangaa wabunge kumaliza pumzi kwa kusema ndiooo! Badala ya kuandaa sheria kali kama CHINA ya kuwashughulikia wahusika watakaobainika wanajishughulisha na madawa ya kulevya.
Usisahau kale kainshu ka Dr Kigwangalla. Wahusika wahojiwe, kisha watuhumiwa watajwe hadharani. Nadhani Dodoma patachafuka!Nimewashangaa wabunge kumaliza pumzi kwa kusema ndiooo! Badala ya kuandaa sheria kali kama CHINA ya kuwashughulikia wahusika watakaobainika wanajishughulisha na madawa ya kulevya.
Huyu huyu aliyeomba bangi iruhusiwe?Msukuma alitamka kuwa bungeni drugs dealers wapo akipewa nafasi na mwenyekiti atawataja..IGP amuite Msukuma fasta ila kama IGP nae km ni msafi lile povu wanaotoka wabunge sio la bure dogo amewashika vibaya km vile marehem amina chifupa alivyotaka kuthubutu