masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,173
- 13,776
Hii lazima itakuwa testing democracy in Tanzania.
Wabunge wamechaguliwa October 2015 kuwawakilisha wananchi wa majimbo yao.
Leo Majimbo hayao hayana uwakilishi bungeni maana wawakilishi wameamua kukienzi chama chao bungeni, suala ambalo sidhan kama ndilo wananchi wamewatuma bungeni.
Wananchi wana shida za maji, barabara , afya na madawa, shule na elimu kwa ujumla.
Leo vituko watu wanataka waonekane kwenye TV, wengine hawataki kulipa kodi kwa vipato vyao.
Sasa wabunge walio katika kambi ya UKAWA hawataki ufuata kanni, taratib na sheria za bunge kwa sababu wabazozifahamu.
Kwa vile kanuni, taratibu na sheria zo haziwezi kubadilishwa kuwanufausha wachache, inabidi waondke kabisa katika uwakilishi, hivyo basi wachaguliwe wabunge wengine wa kufanya kazi ya uwakilishi.
Wabunge wetu, hii ni siasa and the ball is in your court.
Tunataka majimbo yasiyo na uwakilishi bungeni uchaguzi urudiwe ili wananchi wasipunjwe.