Wabunge kila siku wanashindana kuibua hoja binafsi zenye tija kwa watanzania masikini kama sehemu ya kuleta usawa katika mgawanyo wa pato LA taifa ,lakini cha ajabu hakuna mbunge yeyote ambaye ametaka kupeleka hoja binafsi kufutwa posho zao kubwa na mishahara YAO mikubwa ili kuwasaidia masikini na kuleta usawa kwa watumishi wote, wapo wanaonong'ona chinichini lakini wakiogopa wenzao kuwa watawapinga endapo watapeleka hoja hiyo.
Tunawataka wao kama wanajiona wazalendo wawe wa kwanza kupunguza posho zao ili kuleta usawa wa kufaidi pato la taifa.
Tunawataka wao kama wanajiona wazalendo wawe wa kwanza kupunguza posho zao ili kuleta usawa wa kufaidi pato la taifa.