Wabunge kulipa ada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge kulipa ada

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mnyampaa, Jul 11, 2011.

 1. Mnyampaa

  Mnyampaa JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF nifungueni katika hili. Wabunge kulipia ada wanafunzi ni PUBLIC RESPONSIBILITY ya mbunge au ni RUSHWA kwa wapiga kura. Ninaelewa kuna mfuko wa kusomesha wasiojiweza katika Halmashauri ingawa sifahamu unavyoendeshwa. Kwa hili naona lina utata. Kama ni sehemu ya wajibu, na wazazi wafanye nini?
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Kila kitu kina utaratibu wake, mifuko ipo na matumizi yana utaratibu wake.
  Kuna mifuko mingine mingi tu ukiacha hiyo ya kusomesha watoto.
  Mbunge kutoa pesa mfukoni mwake na kulipia ada watoto sioni kama kuna ubaya. Anaweza kuwa ni mbunge wa mahala fulani lakini hajapewa fungu litakalosaidia mambo ya kielimu kwa kipindi hicho au fungu limechelewa, inawezekana watoto wamemlilia shida hvyo kwa huruma yake anatoa pesa mfukoni. Kuna mbunge flani wa singida alikuwa anasaidia sana watoto kwenye mambo ya shule tena kwa pesa yake binafsi.
  Mungu awazidishie wabunge wote wa namna hyo.
   
Loading...