Wabunge karibuni majimboni ambapo mtakuwa huru kuliko bungeni

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
9,227
6,670
Bunge la bajeti limekwisha, mbunge wangu karibu jimboni. Huku jimboni

1) Hakuna Naibu Spika
2) Hakuna kanuni
3) Kila kitendo chako ni laivu
4) Hakuna kukatwa mshiko, tuliokuchagua tutakukrimu
5) Huitaji kuziba mdomo, ruksa kusema lolote
6) Uko huru kufanya lolote kwani wewe ndiye Rais wetu

KARIBU SANA JIMBONI
 
Ni Jimbo gani hilo mkuuu unamkatibisha kwa mbwembwe hivyo.?
 
Bunge la bajeti limekwisha, mbunge wangu karibu jimboni. Huku jimboni

1) Hakuna Naibu Spika
2) Hakuna kanuni
3) Kila kitendo chako ni laivu
4) Hakuna kukatwa mshiko, tuliokuchagua tutakukrimu
5) Huitaji kuziba mdomo, ruksa kusema lolote
6) Uko huru kufanya lolote kwani wewe ndiye Rais wetu

KARIBU SANA JIMBONI
Nzuri sana hii mkuu..nimeipenda.
 
Kila mwanajamvi ana mbunge wake aliyemchagua.

Mbunge wangu ni yeye:
1) anayetaka demokrasia isiyo na mipaka
2) anayetaka haki yake mwenyewe kwanza halafu ndo anitafutie yangu mimi niliyempa kura
3) anayerudi kwangu kunieleza matatizo yaliyomfanya asiniwakilishe bungeni ili nimsaidie kutatua yake kwanza

MBUNGE KWANZA MIMI
 
"Huku jimboni anaruhusiwa kuendesha siasa kabla ya muda uliotangazwa na serikali!!!!!?"
 
Hahaha,aisee umwapa Ujumbe wa Maana sana wazee wa Pedi za Mdomo.
Ina wapo Dar kwanza wanakula Bata.Mikoani vyombo vya Habari sio vingi na kiki hazipigiki vizuri.
 
Back
Top Bottom