Ni njaa tu inamsumbua ila angalau huyo na Bulaya huwa wanajitahidi lakini wale covid19 wengine ni kama ccm tu.Halima anatoa lecture [emoji108]

Hawawezi kuacha kumjadili mbowe kwa sababu mwenyekiti huyu wa CHADEMA ni sehemu ya project ya kutusahaulisha jambo letu. Mtu atamshambuliaje Rais na waziri kwa uzanzibar wao wakati kuwa mzanzibar siyo kosa ila kosa ni bandari kwenda katika mikono isiyo salama. Mbowe anatumika na sasa naamini asali haijawahi kumuacha mtu salama.Mbona mnahamisha hoja za mjadala juu ya huo mkataba mnajadili kauli ya Mbowe? Huo mkataba utajadiliwa kwa kina kweli?
Tafadhali jadilini mkataba, acheni sifa kwa watu huu si muda wake. Tunataka tusikie mjadala juu ya contents za mkataba.
Kinachoendelea sasa ni siasa badala ya mjadala wa kina juu ya mkataba wenyewe. Mnatumia muda mwingi kumnanga Mbowe kuliko kilichomo kwenye mkataba.
Mbowe hatalaumiwa juu ya huu mkataba na matokeo yake bali nyinyi mliopewa nafasi ya kibunge.
Kwa mara nyingine Mbowe ang'ara.Mbona mnahamisha hoja za mjadala juu ya huo mkataba mnajadili kauli ya Mbowe? Huo mkataba utajadiliwa kwa kina kweli?
Tafadhali jadilini mkataba, acheni sifa kwa watu huu si muda wake. Tunataka tusikie mjadala juu ya contents za mkataba.
Kinachoendelea sasa ni siasa badala ya mjadala wa kina juu ya mkataba wenyewe. Mnatumia muda mwingi kumnanga Mbowe kuliko kilichomo kwenye mkataba.
Mbowe hatalaumiwa juu ya huu mkataba na matokeo yake bali nyinyi mliopewa nafasi ya kibunge.
NincompoopMbona mnahamisha hoja za mjadala juu ya huo mkataba mnajadili kauli ya Mbowe? Huo mkataba utajadiliwa kwa kina kweli?
Tafadhali jadilini mkataba, acheni sifa kwa watu huu si muda wake. Tunataka tusikie mjadala juu ya contents za mkataba.
Kinachoendelea sasa ni siasa badala ya mjadala wa kina juu ya mkataba wenyewe. Mnatumia muda mwingi kumnanga Mbowe kuliko kilichomo kwenye mkataba.
Mbowe hatalaumiwa juu ya huu mkataba na matokeo yake bali nyinyi mliopewa nafasi ya kibunge.
Yaan spinning zimekua nyingi utadhani MBOWE ndie Adui wa Taifa 🇹🇿🇹🇿 tangu uhuru........Mbona mnahamisha hoja za mjadala juu ya huo mkataba mnajadili kauli ya Mbowe? Huo mkataba utajadiliwa kwa kina kweli?
Tafadhali jadilini mkataba, acheni sifa kwa watu huu si muda wake. Tunataka tusikie mjadala juu ya contents za mkataba.
Kinachoendelea sasa ni siasa badala ya mjadala wa kina juu ya mkataba wenyewe. Mnatumia muda mwingi kumnanga Mbowe kuliko kilichomo kwenye mkataba.
Mbowe hatalaumiwa juu ya huu mkataba na matokeo yake bali nyinyi mliopewa nafasi ya kibunge.
Mkuu hizo akili za kujadili mkataba wanazo sasa!Mbona mnahamisha hoja za mjadala juu ya huo mkataba mnajadili kauli ya Mbowe? Huo mkataba utajadiliwa kwa kina kweli?
Tafadhali jadilini mkataba, acheni sifa kwa watu huu si muda wake. Tunataka tusikie mjadala juu ya contents za mkataba.
Kinachoendelea sasa ni siasa badala ya mjadala wa kina juu ya mkataba wenyewe. Mnatumia muda mwingi kumnanga Mbowe kuliko kilichomo kwenye mkataba.
Mbowe hatalaumiwa juu ya huu mkataba na matokeo yake bali nyinyi mliopewa nafasi ya kibunge.
Bila Spika wa mchongo kaingilia,Halima alikuwa anawavua nguo leo!Halima Mdee usiingie kwenye huu mtego. Wafyatue acha wapitishe wenyewe.
Nilimuona Mpina yupo Backbench kule anapitia mkataba!Hapa matumaini yapo kwa wabunge wa Chadema na Mpina. Tumesikia sana wanaunga mkono, tunataka mawazo kinzani.
Niseme tuko pamoja sana,wanakwepa majukumu yao,mzigo kwa Mbowe,aibu sanaMbona mnahamisha hoja za mjadala juu ya huo mkataba mnajadili kauli ya Mbowe? Huo mkataba utajadiliwa kwa kina kweli?
Tafadhali jadilini mkataba, acheni sifa kwa watu huu si muda wake. Tunataka tusikie mjadala juu ya contents za mkataba.
Kinachoendelea sasa ni siasa badala ya mjadala wa kina juu ya mkataba wenyewe. Mnatumia muda mwingi kumnanga Mbowe kuliko kilichomo kwenye mkataba.
Mbowe hatalaumiwa juu ya huu mkataba na matokeo yake bali nyinyi mliopewa nafasi ya kibunge.
Wakati anachangia mbunge wa Iringa mjini,Msabatavangu Bashiru alionekana akiwa nyuma ya huyo mbunge,sura yake ilinionyesha hakubaliani na jambo hili ispokuwa kaamua kukaa kimya," party caucus "Bashiru ana nesa kwenye kiti tu utafikiri anasikiliza mangoma ya new jack swing [emoji1787]
mbowe mlevi mmoja tu. jambo la kutaka kuligawa taifa kwa misingi ya ukanda ni hatari mnoo. hatuka tuingie vita ya ukabila na udiniNiseme tuko pamoja sana,wanakwepa majukumu yao,mzigo kwa Mbowe,aibu sana
Mkuu mpaka leo hujajua kua adui wa kwanza kwa wanaccm ni CDM? Yaan ni rahis san kulitia Taifa hasara kuliko kumsapoti adui CDM!!Mbona mnahamisha hoja za mjadala juu ya huo mkataba mnajadili kauli ya Mbowe? Huo mkataba utajadiliwa kwa kina kweli?