utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,830
- 2,417
Kwa hio ni waupinzani tu mbna wa tawala hujasemaKutokana na tafiti zangu na washirika wangu wa karibu tumekaa na kujiridhisha kuwa wabunge hawa wakirud bungeni 2020 nipo tayari Kuachana na siasa mana nina asilimia 100% hamna namna ya kurudi kutokana na sababu zifuatazo;
●Mdee ~huyu hamna kitu jimboni mana hata kuonekana haonekani kazi yake kushinda twitter kukosoa serikali hata kwa mema huku kawatupa wananchi wake, pia wananchi wanalalamika kwa ajili yake hawaoni msaada kule jimboni hata maendeleo yanayotakana na mfuko wa jimbo hawayaoni.
●Kubenea ~huyu ni mbunge wang lakin ukija kwenye maendeleo ni zero kabisa nimejaribu kukaa na wananchi wenzang wengi wanasema hawaelew kazi waliyompa anaifanyia wap mana hawajawah mbunge wao hata kuwatembelea kuuliza matatizo ya wananchi, lingine kampa wakati mgumu sana diwani wa kata yetu mpaka wananchi wamemtuma diwani amfikishie taarifa kuwa 2020 anaweza kuendelea na kazi yake ya uandishi wa habari.
●Mbilinyi ~huyu ndo basi tena mana moja kapewa kisiki (Dr Tulia),pili maendeleo ndo anayakumbuka wakati muda ushamtupa mana miaka 8 yote kazi yake ilikuwa ni tambo nyingi ambazo hazikuwa na faida kwa wananchi, sasa washakuwa na hasira nae sijui atawaambia nini wananchi wa mbeya mjini, tatu wafanyabiashara wakubwa mjini mbeya washaamua mana wameona ni mtu ambae anaichelewesha mbeya kwenye maendeleo.
●Heche ~huyu anapelekewa kisiki cha ukonga hapo, mana nae kwa taarifa tulizonazo kutoka kwa wanazengo ni mbunge kiburi sana kwa wananchi wake, haraf kazi yake kushinda Dar na kuwasahau wananchi kule wapiga kula washaapa wanamngoja kwa hamu 2020.
●Lema ~huyu mzee wa matukio nae 2020 kwaheri, mana kabaki na siasa za kipindi cha mheshimiwa kikwete(kipenz cha watanzania),wakati hiki ni kipind ambacho ukishindwa kwenda na kasi kaa pembeni, wananchi wanamlalamikia hawaelew mbunge wao kazi yake ni ipi.
●Msigwa ~huyu mzee wa kulalamika nae 2020 kwaheri mana kazi anazozifanya mzee wang Mahiga kulisaidia taifa ana sifa zote za kupewa majukumu ya kuwatumikia wananchi wa iringa, pia tafiti zetu zinasema kazi hafanyi ila kakalia kulalamikia viongoz wa serikali kuwa anahujumiwa..lakin wananchi wa washasema wamechezewa inatosha. Ko apewe taarifa asithubutu hata kutaka kugombea tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutokana na tafiti zangu na washirika wangu wa karibu tumekaa na kujiridhisha kuwa wabunge hawa wakirud bungeni 2020 nipo tayari Kuachana na siasa mana nina asilimia 100% hamna namna ya kurudi kutokana na sababu zifuatazo;
●Mdee ~huyu hamna kitu jimboni mana hata kuonekana haonekani kazi yake kushinda twitter kukosoa serikali hata kwa mema huku kawatupa wananchi wake, pia wananchi wanalalamika kwa ajili yake hawaoni msaada kule jimboni hata maendeleo yanayotakana na mfuko wa jimbo hawayaoni.
●Kubenea ~huyu ni mbunge wang lakin ukija kwenye maendeleo ni zero kabisa nimejaribu kukaa na wananchi wenzang wengi wanasema hawaelew kazi waliyompa anaifanyia wap mana hawajawah mbunge wao hata kuwatembelea kuuliza matatizo ya wananchi, lingine kampa wakati mgumu sana diwani wa kata yetu mpaka wananchi wamemtuma diwani amfikishie taarifa kuwa 2020 anaweza kuendelea na kazi yake ya uandishi wa habari.
●Mbilinyi ~huyu ndo basi tena mana moja kapewa kisiki (Dr Tulia),pili maendeleo ndo anayakumbuka wakati muda ushamtupa mana miaka 8 yote kazi yake ilikuwa ni tambo nyingi ambazo hazikuwa na faida kwa wananchi, sasa washakuwa na hasira nae sijui atawaambia nini wananchi wa mbeya mjini, tatu wafanyabiashara wakubwa mjini mbeya washaamua mana wameona ni mtu ambae anaichelewesha mbeya kwenye maendeleo.
●Heche ~huyu anapelekewa kisiki cha ukonga hapo, mana nae kwa taarifa tulizonazo kutoka kwa wanazengo ni mbunge kiburi sana kwa wananchi wake, haraf kazi yake kushinda Dar na kuwasahau wananchi kule wapiga kula washaapa wanamngoja kwa hamu 2020.
●Lema ~huyu mzee wa matukio nae 2020 kwaheri, mana kabaki na siasa za kipindi cha mheshimiwa kikwete(kipenz cha watanzania),wakati hiki ni kipind ambacho ukishindwa kwenda na kasi kaa pembeni, wananchi wanamlalamikia hawaelew mbunge wao kazi yake ni ipi.
●Msigwa ~huyu mzee wa kulalamika nae 2020 kwaheri mana kazi anazozifanya mzee wang Mahiga kulisaidia taifa ana sifa zote za kupewa majukumu ya kuwatumikia wananchi wa iringa, pia tafiti zetu zinasema kazi hafanyi ila kakalia kulalamikia viongoz wa serikali kuwa anahujumiwa..lakin wananchi wa washasema wamechezewa inatosha. Ko apewe taarifa asithubutu hata kutaka kugombea tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye siasa hakuna kitu kama hicho. Hata wao walishinda kwa hilaIngekuwa unayoyaongea ni kweli basi hata serikali ingeweka mazingira sawa ya ushindani na kukubali kutangaza mshindi halali aliyeshinda.
Nina tafuta kijana wa kazi ya kuuza dukani/ kuangalia mifugo, jee unaweza kuja kujaza nafasi hiyo? mshahara ni mnono na chakula cha mchana utapata hapohapo kazini.Kutokana na tafiti zangu na washirika wangu wa karibu tumekaa na kujiridhisha kuwa wabunge hawa wakirud bungeni 2020 nipo tayari Kuachana na siasa mana nina asilimia 100% hamna namna ya kurudi kutokana na sababu zifuatazo;
●Mdee ~huyu hamna kitu jimboni mana hata kuonekana haonekani kazi yake kushinda twitter kukosoa serikali hata kwa mema huku kawatupa wananchi wake, pia wananchi wanalalamika kwa ajili yake hawaoni msaada kule jimboni hata maendeleo yanayotakana na mfuko wa jimbo hawayaoni.
●Kubenea ~huyu ni mbunge wang lakin ukija kwenye maendeleo ni zero kabisa nimejaribu kukaa na wananchi wenzang wengi wanasema hawaelew kazi waliyompa anaifanyia wap mana hawajawah mbunge wao hata kuwatembelea kuuliza matatizo ya wananchi, lingine kampa wakati mgumu sana diwani wa kata yetu mpaka wananchi wamemtuma diwani amfikishie taarifa kuwa 2020 anaweza kuendelea na kazi yake ya uandishi wa habari.
●Mbilinyi ~huyu ndo basi tena mana moja kapewa kisiki (Dr Tulia),pili maendeleo ndo anayakumbuka wakati muda ushamtupa mana miaka 8 yote kazi yake ilikuwa ni tambo nyingi ambazo hazikuwa na faida kwa wananchi, sasa washakuwa na hasira nae sijui atawaambia nini wananchi wa mbeya mjini, tatu wafanyabiashara wakubwa mjini mbeya washaamua mana wameona ni mtu ambae anaichelewesha mbeya kwenye maendeleo.
●Heche ~huyu anapelekewa kisiki cha ukonga hapo, mana nae kwa taarifa tulizonazo kutoka kwa wanazengo ni mbunge kiburi sana kwa wananchi wake, haraf kazi yake kushinda Dar na kuwasahau wananchi kule wapiga kula washaapa wanamngoja kwa hamu 2020.
●Lema ~huyu mzee wa matukio nae 2020 kwaheri, mana kabaki na siasa za kipindi cha mheshimiwa kikwete(kipenz cha watanzania),wakati hiki ni kipind ambacho ukishindwa kwenda na kasi kaa pembeni, wananchi wanamlalamikia hawaelew mbunge wao kazi yake ni ipi.
●Msigwa ~huyu mzee wa kulalamika nae 2020 kwaheri mana kazi anazozifanya mzee wang Mahiga kulisaidia taifa ana sifa zote za kupewa majukumu ya kuwatumikia wananchi wa iringa, pia tafiti zetu zinasema kazi hafanyi ila kakalia kulalamikia viongoz wa serikali kuwa anahujumiwa..lakin wananchi wa washasema wamechezewa inatosha. Ko apewe taarifa asithubutu hata kutaka kugombea tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanaweka akili zao mfukoni wanafikiri kwa kutumia makalioWABUNGE WOTE WA CCM WANA MAENDELEO MAJIMBONI MWAO? MAANA SIJAONA HATA CCM MMOJA. HAIWEZEKANI WOTE KARIBU 280 MAJIMBO YAO YA NEEMA.... AU NASEMA UONGO?
Sent using Jamii Forums mobile app
2020 ni haki bin haki lakin hao hawarud mkuu believe meIngekuwa unayoyaongea ni kweli basi hata serikali ingeweka mazingira sawa ya ushindani na kukubali kutangaza mshindi halali aliyeshinda.
Labda Jacob aje ambadili ndo ataweza kuleta ushindan kwa CcmPiga chini kubenea, mpaka sasa jimbo halina MTU, ameshindwa kujikomba hata atengenezewe kabarabara kalami na manispaa kupitia Tarura hata km 1!! Na viroba kwanza hamna, kwa hiyo hatutategemea ushabiki ndala kama wa mpira