Wabunge CCM Wataka Ndugai ang'oke


Naona wangewaunganisha tu wote ma Bi Kiroboto...

Hii ingekuwa safi yaani Bw & Bi Kiroboto (viroboto), au damu za kunguni! maana hata kwao wenyewe wanakataliwa wataongozaje bunge?!
 
Jamani, ccm ina mbunge mmoja tu.Deo Filikunjombe.wengine wote mmxxiiiiiuuuu.
 

Kaka kama watu wote wangekuwa na mawazo mazuri kama yako mbona nchi hii ingekuwa mbali sana. Udini katika siasa ni hatari kwetu sisi hohehae, watoto wa wakubwa hawana shida ila sisi mitaani tutauana bure.
 

Du nachelea kukubalia point hiyo, kwani haiendani na uzi halafu ungeenda na ktk sinagogi zingene halfu ndio useme. Pia kama sijakosea kukusoma huyo ni kinana ameongea sio imamu. Usiendeleze udini wewe
 

Unapoteza muda hicho ni king'amuzi chini ya mfumo Dijitali
 
Hizo nguvu wangezielekeza kumuondoa mama Makinda sababu yeye ndio tatizo kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…