Wabunge CCM wamerogwa?

Na aliyewaroga kafa, na hao wananchi wanaowachagua pia wamerogwa na mchawi huyohuyo.
 
Welogwa in a spiritual way...ili uwe mbunge wa CCM ni lazima ufaulu ktk eneo la kujipendekeza kwa viongozi ili kupata favors, uwezi kuwa mbunge wa magamba uwe na uhuru kuexercise free view haiwezekani. See for your self bungeni kusoma tu bajeti waziri anapongweza mpaka basi etc. You wonder huyu anaeongea ni Dr kweli au Professor? Offcourse wapo wabunge wa CCM wengi tu ambao sina hakika kama wanajua wajibu wao.


Kwa hiyo kwa CCM, either uwe unawakilisha kundi fulani au la. Kutokana na hilo uwezo wa kuona mambo ktk dimention nyingine unakuwa limited sana..


Endapo wabunge wa CCM (kwa wingi wao) walau wangekuwa makini kwa 30% leo hii tusaingekuwa na vitu kama huu mgao wa umeme eti mvua hazitoshi.

Unajua kwa nini Bashe alipigwa chini kura za maoni, Dr Slaa na wengine ni kwa sababu mawazo yao yalionekana kutoelemea upande wowote wa viongozi wa CCM bali kwa wananchi.
 
Ni dhambi ya rushwa inawasumbua , kukosa uzalendo , kuota posho muda wote kuwaza kwamba Tanzani ni ya CCM pekee na ujingaa mwingi hawajarogwa ila wamechanganyikiwa tu na akili zao ziko uchi .
 
Yafaa wabunge wote wa magamba na mrema wapelekwe loliondo wakapate vikombe maana nahisi wanaugonjwa sugu unaowamaliza na aliye waroga alisha fariki siku moja na shekhe yahaya
 
Wachawi ni wao wenyewe "they are just malingering nothing else, they are aware of what they proclaim being " UNAFIKI" against themselves.
I tell you they are poisonous leaders
They will pay the price of their hypocrisy soon ?2015
 
Jamani hapa tatizo ni mfumo wetu mbovu wa namna ya uwakilishi bungeni, wanachofanya wabunge wa CCM ni athari za mfumo wa maslahi ya chama kwanza badala ya maslai kwa wananchi.
Hu mfumo wa kwenda bungeni baada ya kukaa vikao vya awali vya wabunge wa vyama na kwenda na msimamo wa chama ndani ya bunge ndio unao sababisha yote haya, na hii sio kwa CCM pekee hata kwa CDM na wengine.
Yanayo mkuta Shibuda ni matokeo ya mfano huo, kwamba mbunge wa CCM atakapo kwenda na kinyume na yaliyokubaliwa kwenye vikao vya awali kuwa waunge mkono hoja na yeye akaja tofauti anakuwa kwenye wakati mgumu wa kukalia kuti kavu kama alivyo kalia Shibuda.
Cha umuhimu ni wabunge wasifungwe na maamuzi ya vyama bali waongee kutokana na matakwa ya wananchi wao wanao wawakilisha
 
Hawajarogwa! Sisi ndo tunalogana na kuwaacha hivihivi. Uliza wasikologana, wanaogombea kwa tikiti ya ccm wana wakati mgumu sijawahi kuona. Nenda mbeya mjini. Sisemi mbozi west, ubungo, ukerewe...igunga hainihusu. Shy mjini one vote. Full mass in order(fulu masinonda)! Teh
 
Back
Top Bottom