KipimaPembe
JF-Expert Member
- Aug 5, 2007
- 1,285
- 699
JK alikuwa tayari ana card ya chadema angetoswa(kura zisingetosha) angeibukia chadema apewe agombee urais!!waliobaki waoga na wanafiki?!!!!
wabunge gani hawana nafasi ndani ya CCM, na lini wataenguliwa ili tujue CCM wasafi
Mkuu unatumiwa nini hapa?? JK huyuhuyu unasema kuna wana CCM wamekamatwa kooni, wakati kuanzia JK waliingia madarakani kwa rushwa?? wadanganye haohao!
Kama una dhambi nyingi kama mimi sala hii haitasikilizwa. Wengi wa uliowataja kwenye sala yako hii hawana nafuu wala ahueni yoyote kwa Taifa hili. Wakipata nafasi utawashangaa.EEH MUNGU bariki jio wa chama kipya, bariki vurugu ndani ya CCM, WAFANYE WASIELEWANE KUELEKEA uchaguzi mkuu, naomba CCM iwafukuze uanachama wapigaji wote, iwafukuze Uanacham,a kina Mengi, Malecela ,Idd Simba, Warioba, quares, na wengine, eeh Mungu baba mfanye Kikwete apatane na Lowassa tena...ili CCM wengine wamkatae kwa sauti moja, nikiomba hayo nikataraji shehe Yahya aaibike yeye nA mapepo yake.....AAMEN.
- Hapa ndipo CCM inapopiga bao kwenye uchaguzi na hizi propaganda zao za kampeni sounds like Ruhinda, sasa tayari ameshashika tena ile kazi yake ya kampeni na Mtandao!
Respect.
FMEs!
hakuna lolote wanachoweza kufanya ni kuhama chama lakini sio kuanzisha chama kipya. Huo ni mkwara mbuzi tu. Hakuna atayefukuzwa chama kwa tuhuma za ufisadi kwanza ufisadi bado haujawekwa kwenye sheria za nchi kwa hiyo hukumu ya ufisadi bado haipo kisheria.
Labda nchi ya enzi za mwalimu lakini siyo hii ya kibepari
Mtabiri Maarufu enzi hizo Mr. Naustradamus' alitabiri mambo mengi yaliyotokea moja likiwa-Kutakuja kutokea Kiongozi Maarufu aitwaye Histler ambaye atawaangamiza watu wa kabila moja. Kitendo hicho kitazua vita kubwa ulimwenguni na hatimaye Kiongozi huyo atashindwa vita hiyo. Muda mwingi ulipita baada ya utabiri huo then akaibuka Hitler lakini Mr.Naustradamus katika utabiri wake alikosea herufi moja na kumwita Histler, Hitler aliwaua wayahudi popote pale alipowafikia na akasambaza vita (WWII) kwenye mataifa mengine, jinsi vita ilipozidi kupiganwa Hitler alionyesha kudhoofika, basi watu wakarejea kwenye utabiri wa Mr. Naustradamus kwamba Kiongozi huyo hatimaye lazima atashindwa vita basi Marekani na Waingereza wakajipanga kumtwanga Hitler na kumshinda na utabiri ukawa umetimilika.SASA KWA TANZANIA: Nyerere alisema upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM, wabunge wajaja wameshaliona hilo na wanalifanyia kazi. Waendelee bila kukata tamaa CCM imo mbioni kuanguka na haitaanguka na wote itaanguka na wale ambao ni waumini wake wengine watajiengua na kutegneza chama kingine kitakachoshika madaraka. Kazeni boot

huyu shekhe naye anadanganya watu ,tunasubiri hayo mapinduzi ya wabunge,,Lakini je wana jeuri ya kufanya hivyo?