Imani ya hawa jamaa kukitema chama chao cha majambazi ilinitoka pale Mr Six aliposhindwa kuwatupia kadi yao aliposulubiwa na kina Makamba.
Awali niliamini na kutamani sana Sitta kuwarudishia kadi yao mara baada ya kumjadili na kumtishia kumvua uanachama, kisha tungeshuhudia wabunge wengine toka chama hicho wakimfuata kwa kurudisha kadi zao, ni hatua ambayo ingesisimua na kuwavutia zaidi wananchi, wangeamini kile wanachokihubiri Bungeni, lakini hilo halikutokea, wataweza sasa kujiengua