Wabunge CCM iringa waingiwa kiwewe!

London vipi M4C. Lema alifikia hoteli au nyumbani kwa Mbowe alipokuwa huko?

"Mkombozi" wa Mwaafrika anatowa hela Tanzania anapeleka kwenda kununuwa nyumba London na Dubai ili tu na yeye akiongea aweze kusema "pale nyumbani kwangu London" au "pale nyumbani kwangu Dubai".

Miafrika ndivyo Ilivyo - NN

Sidhani kama ni sahihi kwa mwanaume rijali kuona wivu kwa pesa halali ya mwenzio endapo anaitumia kiuwazi kabisa na ameiearn kihalali na kuamua wapi ajenge na si kukaribisha investors tu hata wa nyumbani wanainvest nje

Ni vizuri ukiulizia hela isiyo halali mafichoni swiss
 
London vipi M4C. Lema alifikia hoteli au nyumbani kwa Mbowe alipokuwa huko?

"Mkombozi" wa Mwaafrika anatowa hela Tanzania anapeleka kwenda kununuwa nyumba London na Dubai ili tu na yeye akiongea aweze kusema "pale nyumbani kwangu London" au "pale nyumbani kwangu Dubai".

Miafrika ndivyo Ilivyo - NN

lazima mtu kama mbowe awe nanyumba nje.unafikiri kikinuka mwaka 2015,atakimbilia wapi kama si huko.maana kama wasipopata urais mwaka huo wanaweza anzisha seleka na huwezi endesha harakati za mapambano ya kuangusha nchi ukiwa humu lazima uwe nje ya nchi wakati raia wanachinjana.
 
Ni saa chache tu zimepita tangu Mkt wa Taifa Chadema na Kiongozi wa upinzani Bungeni ambaye pia ni mbunge wa hai Mh, Freeman Mbowe kuutangazia uma wa watanzania kuwa atatua mkoani Iringa na makamanda wa vuguvugu la mabadiliko almaarufu "Movement for Change M4C" kuwatia nuru ya mapambazuko na mwangaza wa utajiri walioukalia kwa mda mrefu chini ya viongozi wa CCM akiwamo spika wa bunge Anna Makinda, Prof Msola, Lukuvi, Deo Sanga - ''Jaa people'' na wengine ambao kwa taarifa zinazozagaa mitaani wamejiapisha na kuwaagiza makatibu wa chama chao kuhakisha nguvu ya M4C inadhoofishwa hata kwa nguvu ya dola na ndumba ili waendele kutawala . Najua unaweza kujiuliza Iringa ina nini? kwa kifupi tu niwaambie Iringa ni mkoa wenye uwezo wa kuzalisha zaidi ya tani milioni moja kwa mwaka , ina mbuga kubwa na ya pili barani Africa yaani Ruaha National Park, vivutio vya utali kama kalenga na isimila , mikunjo (ox-bow lakes) ya "The great Ruaha River unaotiririsha maji throughout a year, mazao ya misitu kutoka Sao hill forest , migodi mikubwa ya makaa ya mawe, kilimo cha chai kisichokuwa na mfano barani Africa, viwanda vikubwa east and centra Africa kama Mufindi paper mills na Chai Bora lakini pamoja na utajiri wote huo bado Iringa ina harufu ya umaskini wa kutisha huku ikisifiwa kutoa mayaya wengi wanaofanya kazi miji na majiji mashuhuri kama Dar-es -Saalamu na kwingineko je mwanaJF mwenzangu M4C waende au Wasinde Iringa?
Naomba jamaa waende wakakae pale mpaka mwaka 2015, maana haiwezekani mkoa wa wababe wa dunia hii waliowapiga hata wajerumani na mpaka leo jeshi letu linamajina nna nyimbo za parade za jamaa hawa leo wanasifika kutoa mayaya kama tanga?!!kweli Ccm ilaaniwe milele!Imelaaniwa siku iliyozaliwa ccm na kila siku aliyozaliwa kiongozi wa CCM
 
London vipi M4C. Lema alifikia hoteli au nyumbani kwa Mbowe alipokuwa huko?

"Mkombozi" wa Mwaafrika anatowa hela Tanzania anapeleka kwenda kununuwa nyumba London na Dubai ili tu na yeye akiongea aweze kusema "pale nyumbani kwangu London" au "pale nyumbani kwangu Dubai".

Miafrika ndivyo Ilivyo - NN

vipi zile bilion 300 za Uswizi!
 
Siku mbowe atasema anaenda kwimba mwanza nitajisikia faraja sana .kuna muhindi mmoja anaitwa mansoor anaishi mjini ila ni mbunge wa kwimba sijawahi msikia akiwatetea hata mara moja

Huko ndo panafaa kwenda kuwasha moto kinoma mpaka hao wasukuma wapate kuelewa kuwa UBUNGE sio kuwa na
pesa bali ni kuwa na moyo wa kutetea wanyonge!
 
London vipi M4C. Lema alifikia hoteli au nyumbani kwa Mbowe alipokuwa huko?

"Mkombozi" wa Mwaafrika anatowa hela Tanzania anapeleka kwenda kununuwa nyumba London na Dubai ili tu na yeye akiongea aweze kusema "pale nyumbani kwangu London" au "pale nyumbani kwangu Dubai".

Miafrika ndivyo Ilivyo - NN

Pole sana weee mwaya!
 
Haki ya Mungu...tembea uone. Sikuwahi hata kuota kama hiyo ndiyo Iringa ninayoifahamu, ninachojua ni barabara iendayo kusini...hilo tu! M4C WAENDE, tena Ndugu zangu wa huko waungeni mkono kwa herufi kubwa.
 
Nasikia pia Moro nako hakuko salama, wamejiandaa kuvuruga mkutano utakaofanyika Moro mjini jumapili, eti watawavalisha magwanda vijana halafu wataanzisha fujo. Chadema moro na kamanda wa opersheni kuwa makini kwa hili, hakuna ataayetuzuia mpaka kieleweke.
 
Kwani mtu kununua nyumba hata HEWANI (ANGANI) ni kosa? Hivi Mbowe mnamuona masikini sana...mnaijua historia yake vizuri kweli?..Yeye tangu anazaliwa fedha kwao zilikuwepo na wala hazijaisha, Pia hayo ni maisha yake binafsi na sio siasa. Fedha za Mbowe Freeman, haziko Uswisi na hata kama ziko haziwezi kuwa banned kwani si chafu.

Za CCM nyingi ni "Dirty Money for Laundry List" na hata zikifika huko "LAUNDRY" haziwezi kuwa safi believe me!!

Niambie hao wenye mahekalu Ulaya na Marekani kwani huko kwao? Hizo ni baadhi tu ya fursa za kiuchumi ambazo "mwenzetu" Mungu kamjalia...Hata wewe ukipata hela lazima utataka utoke na kununua hata ka-ploti mkoa mwingine na si lazima pale ulipozaliwa..
 
Historia ipi wewe anayo huyo? zaidi ya babake kuwa mtumishi wa Serikali, eleza lile jengo mjini walilipataje? kama si ubadhirifu wa mali za umma.
 
CCM wataandamwa popote walipo, hata chini ya uvungu wakiingia, we will smoke them out. Lukuvi akaombe mwongozo kwenye M4C.
 
London vipi M4C. Lema alifikia hoteli au nyumbani kwa Mbowe alipokuwa huko?

"Mkombozi" wa Mwaafrika anatowa hela Tanzania anapeleka kwenda kununuwa nyumba London na Dubai ili tu na yeye akiongea aweze kusema "pale nyumbani kwangu London" au "pale nyumbani kwangu Dubai".

Miafrika ndivyo Ilivyo - NN

unakat...wa nn?
 
Uwike usiwike kutakucha, tumechoka kuonewa, tumechoka kunyanyaswa. Unyonge wetu ndiyo umetufikisha hapo sasa tunasema Basi, CCM hebu pisha enzi yako imekwisha. Bela ndauli
 
Siku mbowe atasema anaenda kwimba mwanza nitajisikia faraja sana .kuna muhindi mmoja anaitwa mansoor anaishi mjini ila ni mbunge wa kwimba sijawahi msikia akiwatetea hata mara moja

hv ilikuwaje huyu mhnd ngudu wampe kura,ntafrah cku m4c ikfka magu,kna huyu limbu,yaan uharo kbsa
 
Waje tu! Karibuni saana M4C mje mtoe changamoto kwa Mkoa wetu uliolala tangu enzi hizo pengne watafunguka Big up Iringa Mjin kwingineko kazi ya ziada!
 
Back
Top Bottom