Wabunge Bongo wazibana midomo, hakuna kuongeleshana

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,233
50,389
Hehehe! Wabunge wetu labda waige hii, maana kwetu wao huchekeana chekeana halafu wanachonganisha wafuasi wao wapigane kitaa.

============================================

Baada ya wabunge wa Upinzani kuweka msimamo wa kutosalimia wabunge wa CCM bungeni, picha zikimuonyesha Mbunge wa Sumve, Richard Ndassa akijaribu kumpa salamu bila mafanikio Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa (kulia), kutokana na Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), kumziba mdomo asifanye naye mawasiliano mjini Dodoma jana.
East Africa Television (EATV)
13509127_1544079532273126_7483037500404235012_n.png
 
Nitaufurahia na kuamini wakizichapa kuonyeshana heshima. Hii ya kusalimiana mbona hata wañyama wa mwuitu hawasalimiani
 
Tunapoelekee siko hata kidogo mambo haya madhara yake si ya sasa...ila yatasababisha madhara makubwa sana siku za usoni...
 
Back
Top Bottom