Wabunge Afrika Kusini watwangana makonde

Wabunge Afrika Kusini watwangana makonde

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,267

The Economic Freedom Fighters (EFF), led by Julius Malema, repeatedly interrupted Mr Zuma, demanding answers over a spending scandal.

The speaker of parliament then ordered their removal, prompting scuffles.

The largest opposition party, the Democratic Alliance, walked out in protest at their expulsion.

"You can't send police into parliament," said Democratic Alliance parliamentary leader Mmusi Maimane.

The EFF used President Zuma's annual State of the Nation speech to question him about a state-funded, multi-million dollar upgrade to his private residence.

They were evicted by large numbers of security guards. Among those thrown out was Mr Malema.

_75306515_line976.jpg

At the scene: Andrew Harding, BBC News

It began rather politely - an EFF MP standing up to interrupt President Zuma about one minute after he had launched into the substance of his State of the Nation address.

The speaker of parliament, Baleka Mbete, was expecting it, and urged the MP, and others who followed suit, to leave their questions for another occasion. But when Julius Malema loudly demanded the President "pay back the money" from the upgrade to his home, the speaker ordered him to leave.

Malema refused, and suddenly several dozen white-shirted security officials were pouring into the room. They crowded around the EFF and began to pull the MPs out of the chamber.

I saw one MP try to swing a punch, and another threw his red hard hat at the officials. There were more scuffles and loud shouts. Shirts were torn. Within a few minutes all the EFF MPs had been removed from parliament and the ANC majority began cheering in their seats.

_75306515_line976.jpg

He defended his MPs actions, calling it a legitimate attempt to defend democracy, adding that seven of his party had been injured and would be pressing charges.

_80976344_025842525-1.jpg

President Zuma was giving his State of the Nation speech during the scuffles

_80976336_80976335.jpg

Julius Malema, the leader of the Economic Freedom Fighters was among those expelled

_80976340_80976339.jpg

The red shirted EFF MPs brawled with white shirted security officers

It is not clear whether the guards were police or parliamentary officials: an important distinction, according to one MP, who said the use of police would be a way of intimidating the opposition.

Mr Malema and Mr Zuma were once close allies but the pair fell out.

The EFF has shaken up South African politics with a series of populist proposals to redistribute wealth.

_80976356_025842433-1.jpg

Members of another opposition party walked out in protest

_80976358_025842358-1.jpg

It is not the first time the EFF have interrupted a speech by President Zuma

EFF MPs accuse Mr Zuma of benefitting unduly from taxpayer-funded upgrades to his private residence in the village of Nkandla and they wanted Mr Zuma to answer questions about this before making his state of the nation speech.

Last year an independent inquiry found the president had "unduly benefited" from the expensive upgrades, which included a pool and a cattle enclosure and cost about $23m (£13.8m).

The president has denied any wrongdoing.

Despite criticism of the Nkandla upgrade and the country's moribund economy, Mr Zuma's African National Congress was overwhelmingly re-elected last year.

Source:BBC
 
Last edited by a moderator:
Hii ni kama TZ sehemu ya kutumia akili kidogo tu, lazima nguvu itumike.
 
anasema ukitembea na mtu mwenye UKIMWI ukawahi kuosha haupati. pia mwanamke akikutega na usimgegede kwa kizulu ni aibu.africa ni bara linaongoza kuwa na viongozi wajinga.
 
Jana kule katika Bunge SA tumeshuhudia Julius Malema akikomaa na ubadhilifu uliofanywa na Rais Zuma na kupelekea kutolewa yeye na wenzake nje kwa nguvu na walinzi.

Haya yamepata kutokea katika Bunge letu pale Kiongozi wa upinzani aliposimamia hoja yake na kukataa kutoka nje na walinzi walipotaka kumtoa nje Kijana Mbunge Sugu na wenzake nao walipoamua kumlinda asitolewe na walinzi wakatumia nguvu kumtoa.

Kama wawakilishi wa wananchi Wabunge hawapaswi kukubali kirahisi watawala wanapotaka kuzima hoja zao kwa kutumia mamlaka waliyonayo kuwatoa nje, njia ya mapambano ni nzuri zaidi katika kufikisha ujumbe kuwa wakisemacho ni cha dhati.

Mbaya kwetu ni kuwa Mbunge Sugu na wenzake huku kwetu tuliwaona wahuni lakini kwa South Afrika Malema na wenzake wamehesabiwa ni mashujaa kwa kitendo cha kutaka Zuma arudishe fedha alizotumia kujijengea hekalu lake. Tunapaswa kuwaunga mkono hawa wa kwetu ili tabia za kifisadi zisiendelee kulindwa.

ImageUploadedByJamiiForums1423803945.232760.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1423803967.803414.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1423803997.358623.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1423804008.791267.jpg
 
wote wasakatonge. ye mwenyewe tajiri na ameiba sana akiwa chamani
 
anasema ukitembea na mtu mwenye UKIMWI ukawahi kuosha haupati. pia mwanamke akikutega na usimgegede kwa kizulu ni aibu.africa ni bara linaongoza kuwa na viongozi wajinga.

Hebu niambie wewe mwenye akili kauli kama hii ina impact gani kwenye kuleta maendeleo ktk nchi zetu za Kiafrika ?
Usikute hata wewe ni chizi tu unayetumika kwa maslahi ya wengine
Jifunze kuthamini kilicho chako
 
Halafu Spika wa Bunge la A.Kusini hana tofauti na spika wa bunge letu kwa double standard na culture of impunity

JuJu amefanya kazi ya kibunge na timu nzima ya chama cha EFF na sio mara ya kwanza Spika kusababisha bunge livunjike

Kazi yake ni kumlinda Mwizi mkubwa Zuma,msaliti wa Umajumui wa Afrika.No wonder aliiongoza nchi yake kupiga kura kuidhinisha no-flyzone kule Libya kisha Mabeberu NATO wakampindua Ghaddafi

ANC haitafanya chaguzi nyingine 2 na kubaki madarakani.Hata akina Cyril Ramaphosa wamezidi kugeuka kuwa ma-archtect wa ESCROW za huko

Combination ya JuJu na akina komredi Floyd Shivambu bungeni ime-expose utawala wa huyu mnafiki Zuma

He's such a disgrace!
 
wote wasakatonge. ye mwenyewe tajiri na ameiba sana akiwa chamani

Mamlaka za kushtaki wanazo wao wenyewe kwa nini hawamshtaki? Ni sawa na wanaCCM wanavyopiga kelele kuhusu Lowasa kuwa ni fisadi mara gamba lakini kumfukuza na kumshtaki hawawezi. Kwa hiyo yaweza kuwa ni siasa tuu za kumpakazia Malema kwa vile haogopi kusema kweli.
 
wote wasakatonge. ye mwenyewe tajiri na ameiba sana akiwa chamani

Mashtaka ya kisiasa yaliyotungwa na Msaliti Zuma dhidi ya JuJu baada ya kumuona threat ndani ya chama hata baada ya kufukuzwa

JuJu akiwa mwenyekiti wa Vijana ANC pamoja na akina Floyd Shivambu ,Fikile Mbalula(alikuja kupewa Uwaziri tena wa mitego tu) walimsaidia sana Zuma wakati Mbeki alipotaka kumpoteza kabisa kwenye political Landscape lakini alipopata Urais kama walivyo viongozi wengi maimla wa Afrika akamgeuzia mashambulizi JuJu
 
Mamlaka za kushtaki wanazo wao wenyewe kwa nini hawamshtaki? Ni sawa na wanaCCM wanavyopiga kelele kuhusu Lowasa kuwa ni fisadi mara gamba lakini kumfukuza na kumshtaki hawawezi. Kwa hiyo yaweza kuwa ni siasa tuu za kumpakazia Malema kwa vile haogopi kusema kweli.

Ni mchezo wa Zuma na Ramaphosa Mkuu.

Hata Election ile ANC walitumia nguvu dhidi ya Chama kipya EFF kuwadhibiti akina Malema kuliko DA cha Hellen Zille chama cha COPE tena vikongwe
 
Kufanya vurugu si kigezo kuwa una msimamo,Malema naye ana kashfa ya ufisadi alipokuwa kiongozi wa umoja wa vijana wa ANC
 
Halafu Spika wa Bunge la A.Kusini hana tofauti na spika wa bunge letu kwa double standard na culture of impunity

JuJu amefanya kazi ya kibunge na timu nzima ya chama cha EFF na sio mara ya kwanza Spika kusababisha bunge livunjike

Kazi yake ni kumlinda Mwizi mkubwa Zuma,msaliti wa Umajumui wa Afrika.No wonder aliiongoza nchi yake kupiga kura kuidhinisha no-flyzone kule Libya kisha Mabeberu NATO wakampindua Ghaddafi

ANC haitafanya chaguzi nyingine 2 na kubaki madarakani.Hata akina Cyril Ramaphosa wamezidi kugeuka kuwa ma-archtect wa ESCROW za huko

Combination ya JuJu na akina komredi Floyd Shivambu bungeni ime-expose utawala wa huyu mnafiki Zuma

He's such a disgrace!

.....no wonder watu wa karibu wa Zuma ni wale wa type ya JK, na si PK au YM7.
 
Hebu niambie wewe mwenye akili kauli kama hii ina impact gani kwenye kuleta maendeleo ktk nchi zetu za Kiafrika ?
Usikute hata wewe ni chizi tu unayetumika kwa maslahi ya wengine
Jifunze kuthamini kilicho chako
hii inamaanisha mna Rais mwenye upeo mdogo(mjinga). niambie toka lini mtu mjinga akawaongoza watu kwenye maendeleo zaidi ya kuiba na kujenga jumba kubwa kama ushahidi kuwa kaiba?
 
Back
Top Bottom