Wabunge Afrika Kusini watwangana makonde

Wabunge Afrika Kusini watwangana makonde

yaan umlinganishe malema na ptpvgu mvu taji, malema timamu sugu sio
 
Jana kule katika Bunge SA tumeshuhudia Julius Malema akikomaa na ubadhilifu uliofanywa na Rais Zuma na kupelekea kutolewa yeye na wenzake nje kwa nguvu na walinzi.

Haya yamepata kutokea katika Bunge letu pale Kiongozi wa upinzani aliposimamia hoja yake na kukataa kutoka nje na walinzi walipotaka kumtoa nje Kijana Mbunge Sugu na wenzake nao walipoamua kumlinda asitolewe na walinzi wakatumia nguvu kumtoa.

Kama wawakilishi wa wananchi Wabunge hawapaswi kukubali kirahisi watawala wanapotaka kuzima hoja zao kwa kutumia mamlaka waliyonayo kuwatoa nje, njia ya mapambano ni nzuri zaidi katika kufikisha ujumbe kuwa wakisemacho ni cha dhati.

Mbaya kwetu ni kuwa Mbunge Sugu na wenzake huku kwetu tuliwaona wahuni lakini kwa South Afrika Malema na wenzake wamehesabiwa ni mashujaa kwa kitendo cha kutaka Zuma arudishe fedha alizotumia kujijengea hekalu lake. Tunapaswa kuwaunga mkono hawa wa kwetu ili tabia za kifisadi zisiendelee kulindwa.


View attachment 226517
View attachment 226518
View attachment 226519
View attachment 226520
Haki hutafutwa, hupewi tu kwenye sahani!
 
Malema again. Kumbe zile negotiations za kumstahi bwana mkubwa zilishindikana!?

Kweli Malema sugu na anamfahamu vema Zuma, hapa Zuma kala za uso. Message sent tena loudly and clear.
 
Julius Malema mbona muda wote yuko na magwanda ya mgodini?????
 


Politicians from the far-left EFF were removed forcibly removed by security staff during a disruption of the president's state of the nation speech

Brawl in the South African parliament

South Africa's parliament descended into chaos on Thursday as opposition politicians were removed by force after disrupting Jacob Zuma's annual address.
The president's first state of the nation speech since his re-election last May had been billed as an opportunity to highlight the achievements of the ruling African National Congress (ANC) and its plans for the year ahead. But he received a hostile reception from the far-left Economic Freedom Fighters (EFF), led by firebrand former ANC youth leader Julius Malema, who started to challenge him about corruption allegations.
Zuma had only just started speaking when EFF members began interrupting, demanding to ask the president about when he would repay part of a $23m (£15m) state-funded security upgrade of his rural home. A clearly angry Speaker, Baleka Mbete, warned several EFF members to sit down before ordering their removal by security officers, prompting a brief brawl in which several people were injured.
"We have seen that we are part of a police state," said Malema, whose T-shirt was torn as he was bundled out of parliament in a scrum.
Members from the main opposition Democratic Alliance (DA) also left the chamber.
Zuma then delivered his speech to claps and cheers of support from the ANC as he highlighted the strides South Africa had made since the end of white-minority rule two decades ago. The president's popularity has been waning, however, as South Africa's economy has slowed sharply and he was seen to be spending extravagantly on his rural home at the taxpayers' expense.
DA parliamentary leader Mmusi Maimane said Mbete's decision to call in security officers undermined democracy in South Africa. "She cannot escalate the issue by sending police into the chamber," Maimane told reporters outside parliament. "It robs the people of South Africa of what President Nelson Mandela fought for, which is the upholding of the rule of the law and the constitution."
Advertisement

Malema said before the session that he would "insist in a polite manner" that he be allowed to question Zuma on the controversial upgrades to his home in Nkandla, in rural KwaZulu-Natal province. On Zuma's last appearance in parliament, in August, EFF members chanted: "Pay back the money".
Public protector Thuli Madonsela said in a report last year that Zuma had "benefited unduly" from some of the upgrades, which included a cattle enclosure and amphitheatre, and should pay back some of the costs of the unnecessary renovations. Zuma denied any wrongdoing.
ANC spokesman Gwede Mantashe defended the decision to remove lawmakers from the chamber. "We can never allow parliament to be a place where people exercise anarchy and basically try to effect a coup in parliament. It is good that it was protected," he told ENCA Television.
South Africa's usually calm parliament has been shaken up since the EFF won 25 seats in last year's election. EFF members sport red overalls and hard hats in the chamber in a symbol of their apparent close ties to the working classes.
Brawl in South African parliament as opposition MPs give Zuma hostile reception | World news | The Guardian
 
Last edited by a moderator:
nlifikuri umeandika kitanzania kumbe kiingerza
 
Napenda mtu aina ya Malema,anatuonyesha jinsi ambavyo hatuwezi kusubiri ukombozi kwa kuletewa mezani!
 
Nadhani kijana ameamuwa kukomaa na mafisadi,ingawaje Zuma anatetewa na serikali anayoiongoza,utafika wakati tu watu wakielewa nini Malema na wenzake wanapigania watawauunga mkono tu
 
Mashtaka ya kisiasa yaliyotungwa na Msaliti Zuma dhidi ya JuJu baada ya kumuona threat ndani ya chama hata baada ya kufukuzwa

JuJu akiwa mwenyekiti wa Vijana ANC pamoja na akina Floyd Shivambu ,Fikile Mbalula(alikuja kupewa Uwaziri tena wa mitego tu) walimsaidia sana Zuma wakati Mbeki alipotaka kumpoteza kabisa kwenye political Landscape lakini alipopata Urais kama walivyo viongozi wengi maimla wa Afrika akamgeuzia mashambulizi JuJu

Kwama tuhuma dhidi ya Julius Malema ni uzushi wa Zuma? taarifa zilizopo ni kuwa ni miongoni mwa vijana matajiri na wanaoishi kwa anasa. Ukiangalia magari yake na mambo mengine anayomiliki vyote vinaashiria alikwapua
 
Back
Top Bottom