Arch Barrel
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 574
- 1,308
Kwa hiyo akina Heche sio watu ni mbwa?Chadema haimtegemei mtu, inajipanbania yenyewe.
Kwa hiyo akina Heche sio watu ni mbwa?Chadema haimtegemei mtu, inajipanbania yenyewe.
Hilo dili na Mbowe alishiriki ndiyo maana lilikuwa gumu.Kigaila na Salimu Mwalimu ni matapeli wa kisiasa. Unfortunately kwa Chadema ni vigumu sana kung'amua mapandikixi kama haya. Hao ndiyo waliosaini form za Covid 19 bila kumuhusisha Mnyika. Actually ilitakiwa waenguliwe siku nyingi sana.
Wasiliti sio sehemu ya chama.chama ni watu
Mkuu, Watu sio mti kwamba akisimikwa ni anatanuka na kurefuka bila kusogea.Watu wasio na msimamo hawana mchango wowote kwenye chama.
kuna wanaomtaka mbowe na kuna wanaotaka lissu, utafukuza wa mbowe kisa hawakubaliani na lissu?Wasiliti sio sehemu ya chama.
ni kwel kwa sababu chadema ilikua madarakani wakati wakina nyerere wanapigania uhuru wa nchiCCM haina itikadi kwa sababu siyo chama. Najua hili wengi hawalijui au kulikubali lakini ndiyo ukweli. CCM ikipoteza madaraka leo inafutika kwenye uso wa dunia. CCM bila dola haiwezi ku-survive hata mwezi mmoja.
kama lowasa aliweza kwenda chadema ndo iwe hao hawana hatia kihivoWakirudi Chadema basi yale matusi yote waliyotukanwa watayastahili.
walifukuzwa alafu wakabaki bado wabunge? 🤣walishafukuzwa CHADEMA. Acheni kuwapa umuhimu wasio kuwa nao.
Hao si walishafukuzwa uanachama? Mbn km mmechanganyikiwa? Siyo nyie mliwatukana kila tusi? Ama kweli chadema imekwisha kilichobaki ni sukuma gangKwa sasa wabunge 14 kati ya 19 wameenda CCM wakati mbunge 1 ameenda CHAUMMA, wabunge 4 hawajaamua akiwemo Halima Mdee. Ninafikiri hao 4 naomba warudi kwao CHADEMA kuimarisha chama.
Kwenu kwa maamuzi yenu.
Lione hili, hajui ht maana ya chamaChadema haimtegemei mtu, inajipanbania yenyewe.
Kwake yeye labda chadema kinategemea nyumbuchama ni watu
kwa hiyo Heche ndio chadema?Kwa hiyo akina Heche sio watu ni mbwa?
Walifukuzwa wakati wa Mbowe, labda hujui unaongea nini. Isitoshe hao wa Mbowe hawufukuzwi bali wanajiondoa wenyewe wakitegemea cdm itayumba, ili ionakane Mbowe alistahili kuendelea kuwa mwenyekiti.kuna wanaomtaka mbowe na kuna wanaotaka lissu, utafukuza wa mbowe kisa hawakubaliani na lissu?
mm sjakwambia walifukuzwa nmekuelewesha chama ni watu na watu waliopo chamani ndo hazina yako wawe wanakubaliana na wewe ama hawakutaki, sasa nyie mnaenda tafauti mnataka mbaki na watu wa YES MR LISSU 🤣Walifukuzwa wakati wa Mbowe, labda hujui unaongea nini. Isitoshe hao wa Mbowe hawufukuzwi bali wanajiondoa wenyewe wakitegemea cdm itayumba, ili ionakane Mbowe alistahili kuendelea kuwa mwenyekiti.
kwa mwendo huu labda kwel watawapa kadi nyumbuKwake yeye labda chadema kinategemea nyumbu
Ni wao tukama lowasa aliweza kwenda chadema ndo iwe hao hawana hatia kihivo
Hakuna aliyefukuzwa kwa sababu alikuwa kambi fulani. Bali wanajistukia wenyewe na kuhama. Cdm hatuhitaji wingi usio na tija, yaani hatutaki watu wengi ambao hawana ufahamu wa chama. Tunataka wingi unaojitambua sio wajinga wengi.mm sjakwambia walifukuzwa nmekuelewesha chama ni watu na watu waliopo chamani ndo hazina yako wawe wanakubaliana na wewe ama hawakutaki, sasa nyie mnaenda tafauti mnataka mbaki na watu wa YES MR LISSU 🤣