Skylar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2021
- 2,973
- 6,846
Ndio maana hata walivyoondoka chama hakikuyumbaChadema haimtegemei mtu, inajipanbania yenyewe.
Ndio maana hata walivyoondoka chama hakikuyumbaChadema haimtegemei mtu, inajipanbania yenyewe.
walifukuzwa alafu wakabaki bado wabunge? 🤣
Kwa hiyo akina Heche sio watu ni mbwa?
Mkuu, Watu sio mti kwamba akisimikwa ni anatanuka na kurefuka bila kusogea.
Watu wanabadili misimamo, wanaenda mbele, wakiona walikosea wanarudi kwenye misimamo ya awali au wanatafuta misimamo mbadala n.k n.k
TAL mwenyewe aliwahi badili msimamo wa ufisadi wa EL ambao chama chake kiliuimba kwa muda mrefu.
kuna wanaomtaka mbowe na kuna wanaotaka lissu, utafukuza wa mbowe kisa hawakubaliani na lissu?
Halima anaenda Kwa ayatollah ila anasoma kwanza upepo wa kesi ya Lisu na ukimya wa mboweKwa sasa wabunge 14 kati ya 19 wameenda CCM wakati mbunge 1 ameenda CHAUMMA, wabunge 4 hawajaamua akiwemo Halima Mdee. Ninafikiri hao 4 naomba warudi kwao CHADEMA kuimarisha chama.
Kwenu kwa maamuzi yenu.
Kumbeeee, Sasa mbona kutwa kucha mnamlilia yule chiba?!!!😃😃😃Chadema haimtegemei mtu, inajipanbania yenyewe.
Mbowe ni smart mno kumfananisha na huo ujinga.Mbowe kastaafishwa siasa na Lissu. Sasa hivi kajificha kwa aibu.
Ndiyo Kwa hisani ya CCMwalifukuzwa alafu wakabaki bado wabunge? 🤣
Wapo walioenda kutubu kwa Komeo la chuma,hawa waliorudi kijani pia ina faa wajulishwe kuna sehemu ya tiba ya msongo na madhila ya siii hasa za kijani,na zakichawa na zile siasa za kozalendo na tiba na toba anatoa Komeo la Chuma.Ushauri wa bure kwakuwa nawahurumia.Kwa sasa wabunge 14 kati ya 19 wameenda CCM wakati mbunge 1 ameenda CHAUMMA, wabunge 4 hawajaamua akiwemo Halima Mdee. Ninafikiri hao 4 naomba warudi kwao CHADEMA kuimarisha chama.
Kwenu kwa maamuzi yenu.
CCM NI genge la majambazi wachac he waliojishikiza kwa majeshi yetu Tu huo ndo UKWELI.CCM haina itikadi kwa sababu siyo chama. Najua hili wengi hawalijui au kulikubali lakini ndiyo ukweli. CCM ikipoteza madaraka leo inafutika kwenye uso wa dunia. CCM bila dola haiwezi ku-survive hata mwezi mmoja.
Bishana na historia mkuu. Kutoka kumuhubiri kama fisadi mpaka kuwa Tembo.Acha uongo. Lissu hakubadilisba msimamo alidai Lowassa ni fiasadi na Kuja kwake CHADEMA hakuondoi ufisadi wake. Tafuta interview kwenye Millard Ayo tv 2015.
basi we mweupe kwenye siasa hukuelewa kilichofanyika paleNdiyo Kwa hisani ya CCM
lissu ni kachalii kwa mbowe, angeamua kushinda huo uchaguzi angeshinda na hakuna kitu mngemfanya basi tu jamaa mstarabu sana, hata lisu kurudi bongo ni busara za jamaa kuanzisha maridhianoMbowe kastaafishwa siasa na Lissu. Sasa hivi kajificha kwa aibu.
alafu mahakama ikasema ni wana ccm sio 🤣 🤣Ndio ukamuulize Spika wako Tulia Hilo swali. Mahakama ilibariki maamuzi ya kamati Kuu akina Mdee wakakata rufaa makahakama ya mwisho Yani mahakama ya rufaa.
sasa mbowe na lissu nani katoka na hiki chama mbali alafu nan wa kumwambia mwenzake mjingaHakuna aliyefukuzwa kwa sababu alikuwa kambi fulani. Bali wanajistukia wenyewe na kuhama. Cdm hatuhitaji wingi usio na tija, yaani hatutaki watu wengi ambao hawana ufahamu wa chama. Tunataka wingi unaojitambua sio wajinga wengi.