Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,719
- 287,593
Chadema ilishafukuza hao mithili ya mbwa aliyekunywa maziwa ya mgonjwaKwa sasa wabunge 14 kati ya 19 wameenda CCM wakati mbunge 1 ameenda CHAUMMA, wabunge 4 hawajaamua akiwemo Halima Mdee. Ninafikiri hao 4 naomba warudi kwao CHADEMA kuimarisha chama.
Kwenu kwa maamuzi yenu.