Mbunge wa Kalenga, Godfrey Mgimwa aliuliza maswali matatu ya nyongeza na kuchangia mara mbili.
KIJANA MWENZETU HUYU ANATUANGUSHA SANA, Nimeumia sana baada ya kuona takwimu hizi kwa kijana mwenzetu huyu.
Hivi kule kalenga hakuna matatizo hadi ukose cha kuuliza? Hivi kichwani kwako ni mtupu kiasi hicho hadi ukose cha kuchangia? Ni aibu!
Baba yako hakuwa hivi hata kabla ya kuteuliwa kuwa Waziri wa Fedha (R.I.P Mhe Mgimwa)
Mnyika na Lissu wameleta maendeleo gani kwenye majimbo yao? Sio mradi tu kuongea.
Anafaa kuwa Rais wa twiga star.Wanna jamvi katika takwimu za Leo za wabunge na michango yao bungeni
Lowassa ameangukia kundi LA wabunge wavivu bungeni
Je anafaa kuwa Mgombea urais ccm?
Hivi ni kwanini wanaomchukia Lowassa ni CCM na sio Ukawa au chama chochote cha upinzani!!!!????Wanna jamvi katika takwimu za Leo za wabunge na michango yao bungeni
Lowassa ameangukia kundi LA wabunge wavivu bungeni
Je anafaa kuwa Mgombea urais ccm?
Tena kawa wa tano (5) bora kwa vila.za, ni hatari sana mtu huyu kukabidhiwa madaraka na mamlaka makubwa ya Urais!!
Lowassai mbunge wa Monduli kule Monduli amekamilisha kila kitu ndo maana hakuchangia
Mzee wa watu kachoka.... na kale kaugonjwa kake ka kutetemeka ndiyo basi tena
Hafai hata kidogo
Wanna jamvi katika takwimu za Leo za wabunge na michango yao bungeni
Lowassa ameangukia kundi LA wabunge wavivu bungeni
Je anafaa kuwa Mgombea urais ccm?
Katika hiyo takwimu mkuu malizia na hii - Mbunge na waziri aliyeweka historia ya kumwaga chozi bungeni ni Mizengo Kayanza Peter Pinda!MAJEMBE 10 BUNGENI 2010 HADI 2015.
1: John Mnyika HOJA 540 na Maswali 68.
2: Tundu Lissu HOJA 270 na Maswali 32
3: Moses Machali HOJA 214 na Maswali 91
4: Halima Mdee HOJA 175 na Maswali 43
5: Felix Mkosamali HOJA 151 Maswal 63
6: Zitto Kabwe HOJA 147 Maswali 62
7: Seleman Jaffo HOJA 141 Maswali 52
8: Leticia Nyerere HOJA 139 na Maswali 83
9: Murtaza Mangungu HOJA 131 Maswal 100.
10: Diana Chilolo HOJA 116 Maswali 107.
VILAZA 10 BORA 2010 hadi 2015.
1: Turky Hasan HOJA 9 swali 1
2: Hamis Alli Kheir HOJA 8 maswali 0
3: Mwanahamis Kasim HOJA 7 swali 1
4: Ali Haji Juma HOJA 4 Maswali 2
5: Edward Lowassa HOJA 5 Maswali 0
6: Mohamed Seif Khatib HOJA 5 Maswali 0
7: Kisyeri Chambiri HOJA 4 Maswali 0
8: Godfrey Mgimwa HOJA 2 Maswali 3
9: Balozi Seif Ali Idd HOJA 0 Maswali 0
10: Mohamedi Saidi HOJA O Maswali 0
Kwa takwimu hizo tunagundua 80% ya Wabunge toka CCM kazi yao kubwa ni kuchapa USINGIZI na kupitisha wasivyo vifaham yaan Wabunge Ndiyoooooo ipite kwa hali hii October 2015 tusiwapatie nafasi.
Lowassai mbunge wa Monduli kule Monduli amekamilisha kila kitu ndo maana hakuchangia
MAJEMBE 10 BUNGENI 2010 HADI 2015.
1: John Mnyika HOJA 540 na Maswali 68.
2: Tundu Lissu HOJA 270 na Maswali 32
3: Moses Machali HOJA 214 na Maswali 91
4: Halima Mdee HOJA 175 na Maswali 43
5: Felix Mkosamali HOJA 151 Maswal 63
6: Zitto Kabwe HOJA 147 Maswali 62
7: Seleman Jaffo HOJA 141 Maswali 52
8: Leticia Nyerere HOJA 139 na Maswali 83
9: Murtaza Mangungu HOJA 131 Maswal 100.
10: Diana Chilolo HOJA 116 Maswali 107.
VILAZA 10 BORA 2010 hadi 2015.
1: Turky Hasan HOJA 9 swali 1
2: Hamis Alli Kheir HOJA 8 maswali 0
3: Mwanahamis Kasim HOJA 7 swali 1
4: Ali Haji Juma HOJA 4 Maswali 2
5: Edward Lowassa HOJA 5 Maswali 0
6: Mohamed Seif Khatib HOJA 5 Maswali 0
7: Kisyeri Chambiri HOJA 4 Maswali 0
8: Godfrey Mgimwa HOJA 2 Maswali 3
9: Balozi Seif Ali Idd HOJA 0 Maswali 0
10: Mohamedi Saidi HOJA O Maswali 0
Kwa takwimu hizo tunagundua 80% ya Wabunge toka CCM kazi yao kubwa ni kuchapa USINGIZI na kupitisha wasivyo vifaham yaan Wabunge Ndiyoooooo ipite kwa hali hii October 2015 tusiwapatie nafasi.
Anafaa kuwa Rais wa twiga star.
Viradha ndo nini wewe mwenye uji kichwani badala ya ubongo?
In short Hafai...labda abaki kuwa rais wa Monduli au Yanga kwani hata Wameru walimkataa yule mkwe wake!...
victa mwambalaswa
Lowassa wa 5 kwa kuwa Kilaza
Tena kawa wa tano (5) bora kwa vila.za, ni hatari sana mtu huyu kukabidhiwa madaraka na mamlaka makubwa ya Urais!!
You should review the man's perfomance not only in one area. Think of him since 1990's when he became a minister to date, so you can conclude on your own.