Wabrazili wachokozi kweli!!

Mnyamahodzo

JF-Expert Member
May 23, 2008
1,932
985
Picha nilizo hitaji kuipost haifunguki kama inavyopasa, zinatokea namba na herufi.

Naomba msamaha kwa hilo, nikipata ujuzi zaidi wa namna ya kuipost basi nitafanya hivyo.
 
Sasa mkuu umepost ushuzi harafu ukatuachia? Lol, watu wengine bana!

Kama ungeamua kunyamaza kimya bado usingepungukiwa kitu. Ila kwasasa umepungukiwa: Nayo ni heshima yako. Kwa namna hii ya uandishi, tegemea kudharauliwa.
 
Picha nilizo hitaji kuipost haifunguki kama inavyopasa, zinatokea namba na herufi.

Naomba msamaha kwa hilo, nikipata ujuzi zaidi wa namna ya kuipost basi nitafanya hivyo.

Mnyama, unaweza kukopi na kupaste pia halitaharibika jambo, otherwise ucjali kwani hata miye nilishaexperience kitu hiki hapo awali, nilihuzunika japo inakupa changamoto kujua zaidi.
 
Back
Top Bottom