Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 632
Mleta mada kaileta kiushabiki ushabiki (wakenya vs watanzania), hivi kweli katika kusafiri kwako kote duniani umeona ni raia wa Tanzania tu ndo wanaadhirika nje ya nch yao? Ungekuwa na nia ya kuwapa msaada ungewasaidia badala ya kuja hapa na kuwadhiaki.