Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
i know the placeNenda Summit Club pale Johannesburg ukaone mabinti Wa kikenya walivyojipanga kuuza miili yao usiku. Usikalie tu kuwasema wabongo dada zenu wanawadhalilisha sana
i know the placeNenda Summit Club pale Johannesburg ukaone mabinti Wa kikenya walivyojipanga kuuza miili yao usiku. Usikalie tu kuwasema wabongo dada zenu wanawadhalilisha sana
Warudi nyumbani kufanya nini!! Wache wakae huko huko watafute maisha...wakirudi Bongo hakuna deal sana sana wataongeza idadi ya vibaka!!
Kama ni kuadhirika kimaisha sio SA tu hata ulaya wapo watanzania wanaadhirika kweli kweli. Juzi juzi nilikuwa London,jamaa moja aliingia kwenye Mgahawa, akaangaza angaza macho, alipotuona na kutusikia tukiongea kiswahili wakati tunakula (tulikuwa waTZ 2 na Mkenya moja) akaja kutuomba chakula. Ukweli sikuamini macho na masikio yangu, lakini huo ndio ukweli uliotokea.Baada ya kumdadisi anatoka wapi hapa TZ akatueleza kwamba anatoka DSM sehemu za Ubungo Msewe
The authorities have failed to address the povercy and unemployement isssue(s) at home, in-country, how the hell do you think they can fix these issues across the border? - thousands miles away!?
When did you last visit Kibera? Are these Wabongo worse off?
Nenda Summit Club pale Johannesburg ukaone mabinti Wa kikenya walivyojipanga kuuza miili yao usiku. Usikalie tu kuwasema wabongo dada zenu wanawadhalilisha sana
for failing to confront the truth about yourself and instead trying to see others as less fortunate than you are. that's a complex, bro!
Ndugu yangu mkenya next time usiwasogelee wanaweza kukukaba hao jamaa. Durban wamejazana watoto wa Ilala wakitegemea kuzamia. Hawana deal wamebaki kuwa vibaka tu huko.
Ndugu yangu mkenya next time usiwasogelee wanaweza kukukaba hao jamaa. Durban wamejazana watoto wa Ilala wakitegemea kuzamia. Hawana deal wamebaki kuwa vibaka tu huko. Watanzania tukubali ukweli kuwa jamaa zetu wapo katika hali ngumu huko Durban. Ukienda huo ndo utaelewa kwa nini mkenya kapost hiyo sredi
Jamani si kusema kwa ubaya.nisharudi zangu kenya.
kitu chengine umalaya upo kila mahali,hata hapa kenya malaya wengi ni wabongo na waganda. lakini issue hapa ni hao mabaharia kama vile mwingine amesema.hili ni soma tosha tusije takakimbila ugenini kumbe maisha huko ni mabovu.
Una takwimu za kuonesha uraia wa malaya wanaopatikana huko kwenu Kibera? peleka huko udaku wako..ala
Sasa udaku unatokea wapi?This is what i call double standard.kwani huku ona ule niliye mjibu akishtaki Johannesburg malaya ni wakikenya.
dude i dont know what kind of dubbies you smoke,but next time will you please comprehend
juzi juzi nimekwenda south africa mji wa durban kutembaa,basi ikawa nitakwenda kutembea bandarini ili nionyeshwe bandari kubwa africa.
nimewakuta wabongo wengi ajabu halafu wachafu sana wanalala kwenye park karibu bandarini.niliskia wanongeo kiswahili basi nikawakaribia, katika mazungumzo niliwauliza wanafanyaje pale,eti wanangoja kupanda meli waeende zao ulaya.wengine eti wamengoja miaka kumi pale bandarini.wote wale walikuwa watanzania.sijui kama serikali yenu Tanzania inajua kuhusu hawa jamaa zetu,maana ni wengi ajabu.
Jibu hoja ..takwimu zipo wapi ..otherwise omba radhi kwa kauli za kipuuzi zilizojaa generalization.
abdulhalimNina uhakika uli-check passport zao kwanza na kukuta ni za wa-tz ndio maana ukaleta hii thread, kama hukufanya hivi sina cha kuchangia kwenye thread hii kwani nitakuwa nashiriki kupiga umbea.......
wewe unanifunza vile jibu hoja.una nini wewe.
hapa kuna watu wa kila aina,wajinga,werevu na wapuzi pia,
nitamjibu kila mmoja anayvouliza au kujibu swali lake.
ikibidi. i fight fire with fire
juzi juzi nimekwenda south africa mji wa durban kutembaa,basi ikawa nitakwenda kutembea bandarini ili nionyeshwe bandari kubwa africa.
nimewakuta wabongo wengi ajabu halafu wachafu sana wanalala kwenye park karibu bandarini.niliskia wanongeo kiswahili basi nikawakaribia, katika mazungumzo niliwauliza wanafanyaje pale,eti wanangoja kupanda meli waeende zao ulaya.wengine eti wamengoja miaka kumi pale bandarini.wote wale walikuwa watanzania.sijui kama serikali yenu Tanzania inajua kuhusu hawa jamaa zetu,maana ni wengi ajabu.
you better use your mother tongue as you can't express yourself properly in english. you really suffer from kenyariasisNo please dont get me wrong,i didnt see them as unfortunate, but misinformed people,somebody should have lie to them that u you can make in europe or whichever country they planning to go.Am sure some of them may be are from a very well to do family, but because they have been misinformed they end up living like animal as somebody put it earlier.
what truth about myself.i dont get you
kakurpuka kuleta taarifa hapa