Wabongo na ushamba wa kushangaa wazungu

Wabongo na ushamba wa kushangaa wazungu

Watanzania tuna matatizo gan nilikuwa najua ushamba umeshatuisha tangu kipindi icho huwezi amini hadi leo wabongo tena vijana na watuwazima bado wanaendelea kushangaa wazungu.........Tatizo ni nini....au kipi tunachokishangaa......kwa wale wazungu.....Watanzania tuwe washamba na tushangae vitu vinavyofaa kushangaa.....Kushangaa wazungu ni kitu kinachonikera na kuniumiza moyo na kunipa mawazo..........wewe unasemaje mwana jamii forums
Ivi ni nn maana ya ushamba?
 
kuna wengine viongozi wa vyma tena vikubwa vya siasa jambo likitokea wanakimbilia kwenye balozi za wazungu mzungu ataendelea kututawala mpaka paale tutakapoachaa ulimbukeni
 
Ivi ni nn maana ya ushamba?
Mkuu Mbalamwezi,kila mtu ana tafsiri yake kuhusu neno Ushamba,
Kwa mfano Mtu anaweza kusema;

1- "Kushangaa jambo ambalo wenzio wanaliona ni la kawaida tu ni ushamba!

2-Kutembea na funguo za gari mkononi wakati huna hata Baiskeli ni ushamba,

3-Kudharau watu na kujiona wewe upo juu ya watu wote ni Ushamba,

So,hiyo ni baadhi ya mifano tu,ndio maana nikasema kila mtu anatafsiri yake kuhusu neno ushamba.
 
Kuna clip moja u tube niliiona wachina wamemzunguka mwafrika huku wakimgusa gusa ngoz yake wengine wakipga nae selfie
 
Watanzania tuna matatizo gan nilikuwa najua ushamba umeshatuisha tangu kipindi icho huwezi amini hadi leo wabongo tena vijana na watuwazima bado wanaendelea kushangaa wazungu.........Tatizo ni nini....au kipi tunachokishangaa......kwa wale wazungu.....Watanzania tuwe washamba na tushangae vitu vinavyofaa kushangaa.....Kushangaa wazungu ni kitu kinachonikera na kuniumiza moyo na kunipa mawazo..........wewe unasemaje mwana jamii forums

Sisi ni wa ajabu. Hata wenyewe kwa wenyewe tunashangaana na kukodoleana macho ajabu! Pita mahali ukute watu wamekaa pembeni, (tena hata hao wanaoitwa sisjui Mapedeshee, Ma sistayee, Mabrazameni, na Mashosti), watakusindikiza na bulb zao hadi unaweza kujikwaa! Sijui tukoje Watz?
 
Mkuu hata wazungu wanatushangaa sisi ila wakitushangaa tunasema wanatubagu zama sisi wazungu tulikua mpaka tunawagusa ngozi ila wakitugusa sisi ubaguzi hii imekaaje
 
Back
Top Bottom