Wabongo na ujuaji

Wabongo na ujuaji

Client kama huyo unatemana nae tu, ndio maana wanakutana blogers, wanawapa price ndogo, wakipigwa na vitu vizito wana laumu tasnia nzima,
Site ya 3M anaambiwa laki 2 anafurahi akipigwa analalamikia ma IT wa Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23] wakatu yeye ndio mwehu,

Kwa hiyo na wewe hapa unataka kuwapiga?

Website designsmall business and startup offer tsh. 175,000/-
 
Kwa hiyo na wewe hapa unataka kuwapiga?

Website designsmall business and startup offer tsh. 175,000/-
Ume uelewa huo uzi ? Ndio ujuaji wenyewe ninao sema, ina maana neno offer hujui maana yake?
 
Kwa hiyo na wewe hapa unataka kuwapiga?

Website designsmall business and startup offer tsh. 175,000/-

Ume uelewa huo uzi ? Ndio ujuaji wenyewe ninao sema, ina maana neno offer hujui maana yake?
Wabongo mmenishinda tabia asee😄😄😄
 
Back
Top Bottom