CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,929
Hahaha mpaka kieleweke wanasema! 😛
Tunataka tupewe habari zilizotimia sio tunambiwa wali criticize bila ya kupewa walisema nini
@Mani
Mie nasubiri maelezo yanayohusu mazingira kwanza
This thing is 2.0 ? Nilisoma review yake a few weeks back kwenye WSJ walili diss kwanza, halafu wakajirudi kusema that was just being over critical.
Unaweza kuwapiga wadau guilt trip tupu katika ndoto zao za kumiliki S-Class ya 5.5.
Ila nimependa sana Range Rover walivyoifanya 2.0, yaani unaendesha halafu unakutana na tree hugger mmoja anaanza ku preach unamwambia kimkebe chako kinaunguza wese kuliko dude langu.
Kwa safari hizi za mijini kwenye nchi zenye mikeka hizo 5.5 kuchoma hela na kuharibu mazingira tu.
Oops, nishaanza ku preach.
Hahaha hufai wewe. Unaulizwa Alif unajibu Bee :lol:
Nilimsoma nikaona critic mwenyewe mzushi, analeta ushairi katika engineering.
Wiki chache baadaye akajirudi, anafanya review ya reviews zake zote za mwaka akasema katika reviews alizofanya unfair criticism hii ni mojawapo.
Huyu hapa
2012 Range Rover Evoque Five-Door Review: A Range Rover for a Smaller Era | Rumble Seat by Dan Neil - WSJ.com
Halafu alipojirudi hapa
http://online.wsj.com/article/SB10001424052970204553904577102842167917740.html
afu ww jamaa unapenda kuiga iga thread eeh.....niliweka jana saa 11 na dak 4 wewe ukaamua kujaza server saa 11 na dakika 6...wabongo bana....kwanza na picha hujasema mdau gani kakupa.....umekwiba...sema source ya picha yo yo wa jf na taja na thread yake....alaView attachment 45747 Picha kwa hisani ya mdau. Tanzania ni zaidi ya uijuavyo!
Ungetupatia hizi links tokea mwanzo, sasa hivi suala la Mani iwapo tunataka "kuagiza" lingekuwa lishajibika kirahisi.
Kumbe swali hivyo? Wengine tushazoea mpaka tuone alama ya kuuliza.
Ila nishaweka mpaka sources unaweza kusoma nilichosoma, usitegemee tafsiri yangu tu.
Watu tunazungumzia Range Rover wewe unataka kuwapeleka guilt trip wanaotaka kupanda Mercedes!
Evoque......na kununua UWAZI?
Hata kama zote 5.5 si ruhusa kulinganisha ?
If I have any say on the matter, Yes, huruhusiwi.
Leo ni zamu ya maRovers kuelewa wanaharibu mazingira kwa kiasi gani
Waagizaji na watafutaji hawamsubiri Kiranga. Mbona mambo yapo wazi tu.
Mie Kiranga, si Kiranja.
Waagizaji na watafutaji hawamsubiri Kiranga. Mbona mambo yapo wazi tu.
Mie Kiranga, si Kiranja.
Inawezekana ukawa umekuja na info. ambazo waagizaji hawakuwa nazo awali. Kutueleza kilichosemwa na huyo critic kinaweza kutusogeza hatua moja mbele.
Wewe ni Kiranga, lakini kule H1N1 akishinda tunakubatiza uKiranja
H1N1 kapatiwa chanjo, anatafuta njia ya ku mutate basi tabu tupu. Angalia tusi digress sasa.
Ningependa kujua bei yake bandugu, kwa pesa za madafu. Nadhani nikisaini mkataba mmoja feki naweza kuvuta nikawa nami napaki Sisiem
Ni milioni kama 77 tu hivi bila ya ushuru wa forodha na usafirishaji
It was my dream car in 2009, niliposkia wanatengeneza. wakati ule website ya LR ilikua inatangaza sana!
Ila sasa naiangalia tu... it is a nice car but...