Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Awapi,yani konda akiniona kituon anafirahi coz nalipiaga siti ya abiria 3,hahahha,imajin nimezunguka na bsi nauli mara mbilia weeee!lzm konda anipakie hahaha!shauri yako Cantalisia, Rejao atasababisha dalaldala zikukatae.....au akuhonge benzi
Jaman BADILI TABIA asa km unene wangu ndio ugonjwa wa Rejao wangu mie nifanyeje!
Heee heee,niwe miss niachike!!!unene sio deal
Awapi,yani konda akiniona kituon anafirahi coz nalipiaga siti ya abiria 3,hahahha,imajin nimezunguka na bsi nauli mara mbilia weeee!lzm konda anipakie hahaha!
BADILI TABIA Rejao wangu hapendi vimbau mbau kitu super banco hahaha hahah!
unene sio deal
Hahahahah hahha,Mme wangu wala hanilaghai bana utinginya wangu ndio ugonjwa wake!Cantalisia hahahahhaaaa Rejao anakulaghai, anaogopa ukiwa potable ataibiwa, shauri yako....
pole sana ndo bongo yetu hyo halaf unakuta anaenda feli kununua samaki wa kuuza..
badADILI TABIA usiwaone wivu wenye miili yao,kama wewe ni kimbaumbau kama betina ujue wewe ni mwongoni mwa watu wanao jipiganji hadi mwili,huo ni ubaili au malazi ya upungufu wa kinga mwilini.
Heee heee,niwe miss niachike!!!
Bado shem hapo hujanishawishi,unafanya mchezo na ndoa wewe!!!
Hahah hahah hahah,hivi unajua Rejao ana password ngapi? Shaurilo
Hahaha hahah,pumzi zipo?
BADILI TABIA sikujua kama ni wewe ndo tulikaa siti moja
:angry::whoo:
Hahaha hahah,
Hiyo maswali unatakiwa ajibu mme wangu ili km ni ushuhuda atoe yeye hahah haha!
subiri utakapoanza kupumua juu juu kama chura ndo utajua kama manyama uzembe yanalipa au vipi