zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
Kwa hiyo mkitafuta money there's no need to be romantic in a relationshipRomantic hiyo vipi!!!hebu tuache tutafe fweza huko
Tulioko kanda ya Bashite na romantic vipi tunarushiwaNikimpata humu romantic guy wa kanda ya ziwa naomba nimuambie in advance, 'yes I do.!!' 😂
Tupo teleeNikimpata humu romantic guy wa kanda ya ziwa naomba nimuambie in advance, 'yes I do.!!' [emoji23]
Mleta mada mwenyewe na represent Lake Zone..Nikimpata humu romantic guy wa kanda ya ziwa naomba nimuambie in advance, 'yes I do.!!' [emoji23]
Sasa kama mtu umejaribu kuwa romantic halafu majibu yake anakwambia usimletee hizo mambo za kwenye tamthilia za kifilipino .huyo mtu nitamsaidiaje kwa mfano.Kwa hiyo mkitafuta money there's no need to be romantic in a relationship
Dah!nani huyo anadiriki kuwa mjeshi mbele ya totori..totoz[emoji848]Sasa kama mtu umejaribu kuwa romantic halafu majibu yake anakwambia usimletee hizo mambo za kwenye tamthilia za kifilipino .huyo mtu nitamsaidiaje kwa mfano.
Siku akipatikana atakakubali kuwa treated like a [emoji1780]..I’llbe zea...[emoji30][emoji30]
Sasa kama mtu umejaribu kuwa romantic halafu majibu yake anakwambia usimletee hizo mambo za kwenye tamthilia za kifilipino .huyo mtu nitamsaidiaje kwa mfano.
Siku akipatikana atakakubali kuwa treated like a 🤴..I’llbe zea...😩😩
Si ndo hapo sasa😢😢😢Dah!nani huyo anadiriki kuwa mjeshi mbele ya totori..totoz[emoji848]
Wabongo bana
So it means your not gonna fall In love again[emoji6][emoji6]Si ndo hapo sasa[emoji22][emoji22][emoji22]
Bora niwekeze uromantic wangu kwenye kutafuta fweza tu [emoji22][emoji22]
Cheka tu mkuu hakuna namna..mtu unajitahid kuwa romantic anaona kama unamletea drama aaaaagrrrrrDah..mambo ya kifilipino.. nimecheka sana.