Nimeongelea hapo juu, tushajenga kwa mbao na nishaona habari zote hizona care inayotakiwa.Unatunia treated timber
Tafuta fundi wa milango ya vioo, muulize mlango wa kioo kitupu,sio ile aluminium frame na 5mm glass, no kioo tupu kama kwenye majengi na hotels kubwa bei gani?
Bei ni $1 - 20 kwa square meter.
Well, Sao Hill mbao zao wanasema guarantee ni 50yrs.Nimeongelea hapo juu, tushajenga kwa mbao na nishaona habari zote hizona care inayotakiwa.
It is not for everyone, especially not for our culture of "build and forget".
Kutegemea na ulivyojenga, unaweza kuhitajika ku treat mbao kila baada ya muda fulani kamasehemu ina wadudu.
Usiku mwema unakuwa hivi:
Au hivi
Kama ni vibaka kwanini vyumba vya ndani mpaka kwenye magorofa vinatumia matofali. Mwisho wa siku “expansion joints” zinabuma?
Vyumba vya namna hii vina ubaya gani?
Hizi habari zinataka watu wenye hobby na hela.Kwenye hili suala la mchwa. Ukipiga floor ya nguvu kama hii halafu ukakata vyumba vya mbao zenye dawa ya mchwa juu yake naamini mbao zako zitasalimika na mchwa kama kitanda chako. Au kuna ambae kitanda chake kimewahi kushambiliwa na mchwa?
Tafuta fundi wa milango ya vioo, muulize mlango wa kioo kitupu,sio ile aluminium frame na 5mm glass, no kioo tupu kama kwenye majengi na hotels kubwa bei gani?
Nilitaka kuweka huo mlango bafuni pozi liliniisha!
Unaweza. Ila gharama ni kubwa. Vioo vinavyotumika kwenye plan kama picha hapo juu sio hivi tulivyozoea vya madirisha yetu ya aluminium.Unaweza ukajenga kwa nguzo za cement and then ukaunga kwa vioo jamani sio lazima mbao au tofali mengine kukalili tu!! and that is my wish!!!
Kukwichkwich ni kawaida mnafunga mapazia. Tena yale mazito yanauzwa 120,000. Hata ukiwasha taa ndani aliyepo nje haoni kitu.Hayo maisha tuwaachie wazungu wenyew
Kwanza hapo mtakwich kwich vp
Ndio maana nimekuambia sio magorofa yoteMlimani city ni ghorofa?, kinachopelekea expansion joint ni jengo kuwa refu kiupana (mapana), na sio kuwa ghorofa, maghorofa yote kariakoo hayana expansion joint, kwa sababu ni marefu kwenda juu lakini si mapana.
ulitakiwa useme.., "Sio majengo yote..."Ndio maana nimekuambia sio magorofa yote