sasa hapo panya road na wat wasiojulikana nitakuwa nimewarahisishia kazi mkuu
😀😀😀😀😀😀😀Kuna grill zinapendeza sana. Labda useme wezi wa Bongo si wavivu ukiwapa muda watavunja mpaka hiyo grill Wezi wa Ulaya ni wavivu wakikuta kufuli wanaondoka[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweza kuiga kujenga kwa mbao halafu mchwa wakala nyumba nzima.
LAKINI MTU AKIRUSHA JIWE JE KIOO BADO KITAKUWA SALAMA KWA HIYO GRILLKumbuka tofali zinawekewa grill kwenye madirisha. Haijakatazwa kuweka grill nje ya kioo.
Inategemea na sehemu na mazingira mkuu, sijasema kwamba huwezi kujenga popote kwa mbao. Nimeasa kuhusu kuiga bila kufuatilia mazingira ya sehemu.Sasa zile nyumba za vijijini mbona hazimalizwi na mchwa. Kwanza kuna nyumba isiyo na mbao Tanzania hasa kwenye dari? Hawa mchwa tunawapa kiki sana.
MI NASUBIRIA NIONE GHARAMA YAKE,Weka picha na bei ya hicho kioo
Si kuna dawa ya kuangamiza kabisa hao wadudu kama mchwa?Inategemea na sehemu na mazingira mkuu, sijasema kwamba huwezi kujenga popote kwa mbao. Nimeasa kuhusu kuiga bila kufuatilia mazingira ya sehemu.
Hii mijengo mingine ya North America/ Europe etc inajengwa kwa kuzingatia hali ya hewa na mambo kama wadudu etc.
Hata hizo nyumba za miti wanaojenga wanajua sehemu gani unaweza kujenga nyumba gani etc, na nyingi wanajenga zinaliwa baada ya muda wanajenga tena etc, ni maisha ambayo washakubali wengine, sasa kwa picha hizi ni kama mtu anajenga permanent structure, kitu tofauti.
Mimi nakwambia hivyo kwa sababu familia yetu ishajenga nyumba ya mbao, miaka ya 80s, mshua wangu alikuwa mtu wa makatalogi muda mrefu aliona hizi habari za kujenga kwa mbao. Mbao zilitaka kupata treatment sana ili kuzuia kuliwa na wadudu.
Kwahiyo si kitu ninachokiandika tu bila uzoefu.
hapo mkikwichikwichi kila mtu anawaona!Usiku mwema unakuwa hivi:
Au hivi
Kama ni vibaka kwanini vyumba vya ndani mpaka kwenye magorofa vinatumia matofali. Mwisho wa siku “expansion joints” zinabuma?
Vyumba vya namna hii vina ubaya gani?
Ni constant struggle, mchwa ni kamambu, kama sehemuinamchwa utawaua kwa muda fulani halafu baada ya muda watarudi.Si kuna dawa ya kuangamiza kabisa hao wadudu kama mchwa?
[emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Kuna grill zinapendeza sana. Labda useme wezi wa Bongo si wavivu ukiwapa muda watavunja mpaka hiyo grill Wezi wa Ulaya ni wavivu wakikuta kufuli wanaondoka[emoji23][emoji23][emoji23]