Sikuchoshi bana, wewe mwenyewe unafahamu fika kuwa mimi sikukaribii hata theluthi linapokuja suala la vyombo.
Mimi nakuchokoza tu ili utuwekee vyombo. Tunapata burudani kutoka kwako.
Hebu angalia ulivyoshuka vyombo kama hauna akili nzuri.
Haya hapo chini nakuja hivi:-
Mchumia juani hulia kivulini