Wabongo greece

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
greece23.jpg

greece2.jpg

greece.jpg

WATANZANIA GREECE WAKIJAZA CONTAINER KUSAIDIA WASIOJEWEZA TANZANIA. Hii ni mifano y a kuigwa kwa Watanzania wote walioko ughaibuni kwani pamoja inawezekana. Blog hii inapenda kuwapongeza Watanzania waishio Ugiriki pamoja na uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Greece kwa jitihada kubwa zinazofanywa. MUNGU IBARIKI TANZANIA!! WABONGO UGHAIBUNI: WABONGO GREECE
 
Si ndo hawa hawa waliokuwa wanapigwa na wenyeji pamoja na kuvunjiwa ofisi au mapigano yameisha?
 
Huo ndo uzalendo unaotakiwa MUNGU awabaliki kwa kuikumbuka nchi yenu. Nawale wanaoishi usa na uk waige mfano huo sio kukalia propaganda mara wamefungua tawi la ccm uk mara m4c imeanza usa, saidieni nchi yenu sio kuendesha siasa uchwara
 
Ugiriki .....Nchi nyingine hatA ukienda mtu anakuangalia Mara mbili, Greece,Italy,Brazil,Pakistan,

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Sitashangaa kuvikuta vikiuzwa madukani. Hiyo ndio Bongo Bwana.
Mkuu pat john Vitu vya msaada vikiwa vinauzwa Madukani basi itakuwa ni laana ya nchi yetu hata vitu vya msaada viuzwe madukani? tunaendekeza njaa itatuponza Mungu asijaalie kuwa hivyo mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu philipo kidwanga Vinafika mikononi mwa Mafisadi nini?hata vifaa vya watu Vilema?ahh hao Mafisadi wana roho ya ukatili kweli kweli.

jana niliongea na mtu kuhusu nyumba za wazee kolandoto. Niliona documentary moja kitambo ya kusikitisha sana, wazee wanakula mizizi na hawana dawa na majumba yamebomoka. Nilistaajabu ati wanapewa fungu na wizara ya ustawi wa jamii. Nikasema bible ingesema 'usimuache fisadi aishi'! Hata kama ni mwizi, lakini fungu la wale wazee lingeachwa. Na hata kama ni fisadi, walau fungu la walemavu tungeliacha aisee!
 
hii dunia hii ina watu wa ajabu sana hii na sijui mwisho wake ni nini?
 
Back
Top Bottom