Wabongo bwana, hawashindwi!

Cha msingi ni kuangalia VIGEZO vipi au VIPAUMBELE vipi vinazingatiwa kwa mwanafunzi kupata mkopo,maana kama tcu inatoa mikopo kwa wanafunzi waliofaulu vizuri sana inabidi iwekwe wazi na kama ni kwa ajili ya kuwasaidia wale ambao wamefaulu kwa kukidhi vigezo vya kudahiliwa na vyuo vyetu lakini hawana uwezo wa kujilipia ada na ghalama nyingine pia ifahamike alafu ndio tuamue kama huyo jaq kupata mkopo mapema ni kosa au sio kosa
 
Kwani hicho anachoenda kukikosea ni priority kwa government kwa kupata mkopo?
51 Bachelor of Arts in Economics and Statistics UD054 Two principal passes in Mathematics and Economics 5 from 3 subjects 100 3 1,300,000 - Non-Priority
Wala so Priority labda ni mtoto yatima au mlemavu na wazazi wake ni maskini.
Ila Kama alisoma private basi kuna jambo na hili suala la mikopo litakuwa ngumu kwa watoto wa wakulima na wafanyakazi wa kada ya chini
Kwenye taarifa ya Naibu waziri wa Elimu eti watapewa wenye fani ambayo ni kipaumbele katika mipango ya maendeleo ya nchi.
Waziri wa Elimu jitokeze na fafanua au kanusha hili kabla watanzania hawajaanza kuchimba huyo mtoto wa Ndalichako yupi.
Pia ni vyema mkawapa hata kwa kiasi wote waliomba mkopo ambao tayari TCU imewapangia vyuo.
 
Hamna fea kabisa maskini amekuwa mtu wa kandamizwa japo tunazidi pewa maneno ya faraja
 
Kwa hali hiyo mtu mmoja akasema humu mtoto wa maskini kupata loan kama ulisoma arts labda uwe hauna mikono na miguu
 
Kuna taarifa za uhakika kwamba huyu Jacqueline hausiani na prof ndalichako ntaileta
 
Ndalichako sidhani kama alisoma private school,namjua vizuri huyu mama!All in all ...
 
mimi nimechaguluwa nit ba education with mathematics and information technology nimeandikiwa not secured. na course ni priority cruster one, kweli duniani hakuna haki haki mbinguni
 
braza na kilazaa kumbe sijawahi pata division less than one na sijwahi kusoma private sijisifii ataa be patient pleasee...!!!!

we siulikosa first round TCU.
Ukakosa tena second round TCU
ukaambiwa uaply tena third round.
Ukaja humu jukwaani ukilia kama mtoto wa kike.
Ndo ukapangiwa koz ya mil 6 kcmc kwa mwaka.
Na usipojiangalia utaahirisha tena mwaka maana hapo unaongezea 4mil kwa kila mwaka.

Nakwataarifa yako ungekua umepata hyo DIVISION 1 UNGEPATA FIRST ROUND KWENYE VYUO AMBAVYO WENZAKO WANASOMA BURE UPANDE WA AFYA KAMA.
UDOM
MUHAS
AJUCO
ST JOHN.
UDSM
 
Nimechaguliwa first round na TCU civil engineering-UDSM kwa matokeo yangu ya olevel check S0135/0045/2013 Advance kachekii S1098/0505/2016 afu unambie kwa matokeo kama hayo 2nd round inatoka wapii.. mchizi am brain please be patient homie...!!!!
 
Hivi mna uhakika gani na huyo binti? Je mnadhani ni mtoto halali wa ndalichako au ni majina yanafanana tu,Kama ni kweli mtoa Uzi toa evidence za kutosha kuwa ni mtoto halali wa Waziri wa elimu,kama siyo basi acha kupotosha umma kwa hayo maneno!!!!
Nawakilisha!!!
 
broo mim Nina div one ya 6 nachukua petroleum nimetemwa hyoo wa arts kapataa Tz amnaa hakii
Kwani arts sio binadamu mwenye uhitaji kama wewe? Acha izo bhna kila mtu na bahati yake we subilia tu utapata amna aja ya kupanic
 
mkuu sawq anaweza asiwe mwanae!
ukisoma vigezo vya mtu kupata mkopo aliyesoma private hawezi chaguliwa mapema ivo!
Je hiyo coz ni priority kwa mkopo?
kasome vigezo vya loanboard 2016
 
broo mim Nina div one ya 6 nachukua petroleum nimetemwa hyoo wa arts kapataa Tz amnaa hakii
hauwezi kutemwa kama kweli umetusua iyoo, kumbuka pia maisha ni ujanja na akili pengine uyo jaq yupo vzurii sana kupiga dili na zikakubaliii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…