Wabongo bwana, hawashindwi!

Karudie kusoma zile priorities za bodi ndo urudi hapa
point ilikua private schools na shule za kata, eti kisa umetoka shule ya kata na ufaulu wowote upewe tu, ivi kwa mfano mtu kasoma feza boy taasusi ya pcb akagonga one ya point sita na mwingne wa shule ya kata pcb akagonga three ya 14 C,E. swali who will be considerd in preference to the other?
 
Em kasome tena vile vigezo aisee...tena read between the lines mkuu.
 
Lakini hata kama ni hivyo, huku mtaani walio pata divn two hawastahili kusoma? tena pcb.. Na je kama watasoma wanauwezo wa kijifadhili wenyewe? Au ndo wapate akina jackln kwanza?
 
Lakini hata kama ni hivyo, huku mtaani walio pata divn two hawastahili kusoma? tena pcb.. Na je kama watasoma wanauwezo wa kijifadhili wenyewe? Au ndo wapate akina jackln kwanza?
competition ya ufaulu ndio unaobagua apo.... iyo ndio main point. sio private schools wala government schools. mbona kuna watu wa izo shule za kata wametusua hatariii, mfano t.o alisoma shule ya kata benjamin william mkapa o level mererani, na akapiga one ya tatu pale tabora boys...mbona t.o wa shule ya kata kafanya vzuriii ata kuliko hao wa feza na st marry?
 
Ipo siku utaimba haleluya!
Kuleni tu hii nchi na kipindi kitafika mtaishi ka mashetani!
No sooner the time!
acha lawama kila mtu atavuna kwa uwezo ake, ila kilio chako cha uchungu na cha kuwa mhangaa ni apo 2020. makinika kwa sera zenye tija za ukawa, na sio kuleta shobo kwenye viono vya kina shilole,oprah,chura kipindi kile cha compain. tanzania mpya inakujaaa
 
Yaani hana sifa ya kumpa kipaumbele cha kupata mkopo lakini kapata asubuhi mapemaaaa! Sie pangu pakavu hatujui hili wala lile. Haki ya mungu sitokaa niipigie kura ccm hata kwa balozi wa nyumba kumi
 
ata kama kasoma private iwe ni feza, au st nini, kama mtu kapasua ana one ya tano, si lazma apewe, kwaiyo yeye aachwee mwenye three ya 13 DDE apewe?
Kwa hiyo unadhani waliopigwa chini wamefeli? Uwe unapima maneno kabla hujaongea
 
uyu jacquiline ana uhusiano gani na ndalichakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…