Wabongo Bana.

Wabongo Bana.

Eraldius

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
1,122
Reaction score
912
Naamini wanaJF wengi mshasikiliza nyimbo ya NWO BABY REMIX wa2 wengi wametia mpaka kwenye cmu.Kinachonishangaza mshikaji kasampo nyimbo za SAIDA KAROLI ''Maria Salome'' na wabongo wanaiona kama nyimbo ya Ajabu.Cpende vya nyumbani. NAWASILISHA.
 
Mkuu uandishi wa sredi zako kwa style ya ki facebook utakosa mashiko humu ndani. Nakushauri andika kwa kutumia lugha fasaha kuliko kufupisha fupisha maneno kama mtoto wa sekondari kule facebook. huku hii kitu haina nafasi kabisa
 
Wabogo bana na hii ni thread!
 
Huyu kapotea jukwaa, huku sio mahali pake kabisaa!
 
Wabogo bana na hii ni thread!

Kama thread ni suruali, basi hiki alicho andika mwenzetu ni toilet paper iliyotumika. It is useless
Naamini wanaJF wengi mshasikiliza nyimbo ya NWO BABY REMIX wa2 wengi wametia mpaka kwenye cmu.Kinachonishangaza mshikaji kasampo nyimbo za SAIDA KAROLI ''Maria Salome'' na wabongo wanaiona kama nyimbo ya Ajabu.Cpende vya nyumbani. NAWASILISHA.
 
Naamini wanaJF wengi mshasikiliza nyimbo ya NWO BABY REMIX wa2 wengi wametia mpaka kwenye cmu.Kinachonishangaza mshikaji kasampo nyimbo za SAIDA KAROLI ''Maria Salome'' na wabongo wanaiona kama nyimbo ya Ajabu.Cpende vya nyumbani. NAWASILISHA.

Mh! Nimetoka kapa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom