kevin strootman
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,114
- 1,879
SIFUNGI, SADAKA NATOA KWA WASIOJIWEZA NA WAHITAJI HATA MITAANI WAPO SIO LAZIMA NIMPELEKEE 10% MCHUNGAJIfunga ndoa blaza toa na zaka
Kwani kinachopeleka mtu motoni ni matendo au ni kwenda kanisaniutaenda motoni blaza huogopi[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
baba paroko anasafisha njia ya mbinguniKwani kinachopeleka mtu motoni ni matendo au ni kwenda kanisani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unasubiria binadamu mwenzako akusafishie njia ya mbinguni??! Jitafakari wewe na matendo yako usimtegemee mtubaba paroko anasafisha njia ya mbinguni
Msimamo wako upo sawa. Tatizo mmeenda kusali kwenye kanisa ambalo lina taratibu zake. Kufunga ndoa ni sehemu ya utaratibu wa kanisa hilo.Mimi naishi na mwanamke ambae HATUJAFUNGA NDOA, ila Sasa cha kushangaza ni watu huko kanisani mwanamke anapoenda kutwa kumshauri eti tufunge ndoa, majirani wale wenye ndoa kutwa kumshauri shauri tuu, Mimi naishiaga kuwaambia tuu NDOA SIFUNGI
ni kama ishu ya kipaimara/kubarikiwa Mimi tokea Niko darasa la saba nilishakimbia hayo mambo, na Leo hii wale waliobarikiwa 90% nnaowajua ni wavuta bangi,walevi na wamechoka mbaya (kipindi tukiwa shule ya secondary walinitabiria Mimi eti nitakua na maisha magumu kwakua sijabarikiwa/sijapata kipaimara, lakini kwasasa wao wamechoka sana Mimi Niko vzuri.
Hawa wanaonishauri Mimi nifunge ndoa unakuta mtu ana miezi SITA kwenye ndoa, wengine ndoa zimevinjika zimewashinda Mimi watanishauri Nini???
Nyie mnaoenda kanisani mnajiona sana Yani mnaona kama yesu sijui ni mjomba wenu au ndio mnamjua mungu sana! ACHENI KUKARIRI MAISHA
Mambo ya kufunga ndoa Kwa Sasa minaona kama ni JANJA JANJA TUU, kama nataka kuishi na mwanamke naishi nae sio lazima ndoa.
Eti utakuta mtu kwakua alikua haendi kanisani huko KKKT siku anataka kufunga ndoa mchungaji anamkataa anasema hamtambui kwakua sio mshirika! Halafu utakuta mtu anapaniki kabisa Kwa kukataliwa kufungishwa ndoa kanisani [emoji1787][emoji1787] unapaniki Nini wewe ACHENI upumbavu
blaza utapata laana ohoooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unasubiria binadamu mwenzako akusafishie njia ya mbinguni??! Jitafakari wewe na matendo yako usimtegemee mtu
Mnamtisha sana jamaa[emoji1][emoji1]utaenda motoni blaza huogopi[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Kanisani wanaenda wenye ndoa huyo kimada wako asiende tuMimi naishi na mwanamke ambae HATUJAFUNGA NDOA, ila Sasa cha kushangaza ni watu huko kanisani mwanamke anapoenda kutwa kumshauri eti tufunge ndoa, majirani wale wenye ndoa kutwa kumshauri shauri tuu, Mimi naishiaga kuwaambia tuu NDOA SIFUNGI
ni kama ishu ya kipaimara/kubarikiwa Mimi tokea Niko darasa la saba nilishakimbia hayo mambo, na Leo hii wale waliobarikiwa 90% nnaowajua ni wavuta bangi,walevi na wamechoka mbaya (kipindi tukiwa shule ya secondary walinitabiria Mimi eti nitakua na maisha magumu kwakua sijabarikiwa/sijapata kipaimara, lakini kwasasa wao wamechoka sana Mimi Niko vzuri.
Hawa wanaonishauri Mimi nifunge ndoa unakuta mtu ana miezi SITA kwenye ndoa, wengine ndoa zimevinjika zimewashinda Mimi watanishauri Nini???
Nyie mnaoenda kanisani mnajiona sana Yani mnaona kama yesu sijui ni mjomba wenu au ndio mnamjua mungu sana! ACHENI KUKARIRI MAISHA
Mambo ya kufunga ndoa Kwa Sasa minaona kama ni JANJA JANJA TUU, kama nataka kuishi na mwanamke naishi nae sio lazima ndoa.
Eti utakuta mtu kwakua alikua haendi kanisani huko KKKT siku anataka kufunga ndoa mchungaji anamkataa anasema hamtambui kwakua sio mshirika! Halafu utakuta mtu anapaniki kabisa Kwa kukataliwa kufungishwa ndoa kanisani [emoji1787][emoji1787] unapaniki Nini wewe ACHENI upumbavu
Kanisani ni Kwa ajiri ya waumini tuu ...Kanisani wanaenda wenye ndoa huyo kimada wako asiende tu
KivipAiseee we jamaaa genius! Sema uache kuandika wishing zangu
Kama ndio hvyo basi NDO NI UTAPELIKanisani wanaenda wenye ndoa huyo kimada wako asiende tu
Makanisani kuna unafiki sana mkuu wewe fanya kwa muda wako jambo lolote la kuharakisha haliwagi zuri. Kibaya ninachoona kama mpenzi wako hana msimamo kama wako unaweza mpoteza kwa ushauri wa hao wajinga, wataanza kumuingizia maneno ya kama anakithamini akichukue mazima sasa na mwanamke nae kipima kwa akili ndogo anajua humpendi ataanza kuona watu wengine na wapo watakao ahidi ndoa hivyo kupelekea kukukosesha tunda lako.Mimi naishi na mwanamke ambae HATUJAFUNGA NDOA, ila Sasa cha kushangaza ni watu huko kanisani mwanamke anapoenda kutwa kumshauri eti tufunge ndoa, majirani wale wenye ndoa kutwa kumshauri shauri tuu, Mimi naishiaga kuwaambia tuu NDOA SIFUNGI
ni kama ishu ya kipaimara/kubarikiwa Mimi tokea Niko darasa la saba nilishakimbia hayo mambo, na Leo hii wale waliobarikiwa 90% nnaowajua ni wavuta bangi,walevi na wamechoka mbaya (kipindi tukiwa shule ya secondary walinitabiria Mimi eti nitakua na maisha magumu kwakua sijabarikiwa/sijapata kipaimara, lakini kwasasa wao wamechoka sana Mimi Niko vzuri.
Hawa wanaonishauri Mimi nifunge ndoa unakuta mtu ana miezi SITA kwenye ndoa, wengine ndoa zimevinjika zimewashinda Mimi watanishauri Nini???
Nyie mnaoenda kanisani mnajiona sana Yani mnaona kama yesu sijui ni mjomba wenu au ndio mnamjua mungu sana! ACHENI KUKARIRI MAISHA
Mambo ya kufunga ndoa Kwa Sasa minaona kama ni JANJA JANJA TUU, kama nataka kuishi na mwanamke naishi nae sio lazima ndoa.
Eti utakuta mtu kwakua alikua haendi kanisani huko KKKT siku anataka kufunga ndoa mchungaji anamkataa anasema hamtambui kwakua sio mshirika! Halafu utakuta mtu anapaniki kabisa Kwa kukataliwa kufungishwa ndoa kanisani [emoji1787][emoji1787] unapaniki Nini wewe ACHENI upumbavu
Mkuu mwanamke wake ndio anaendaga church ye haendag church….au nimeelewa vibaya…umeweka uwingi hapoMsimamo wako upo sawa. Tatizo mmeenda kusali kwenye kanisa ambalo lina taratibu zake. Kufunga ndoa ni sehemu ya utaratibu huo.
Mngejikalia zenu nyumbani msihangaike kwenda kanisani sidhani kama mngepata kero yoyote.
Achaneni na makanisa au fungua kanisa lako la wasiofunga ndoa.
Kufanya nini huko?utaenda motoni blaza huogopi😝😝😝😝😝