Wabeba mabango Tabora wamkera Rais Magufuli

Yule mzee naamini hata akigombea ubunge atapata, maana ni mtaratibu na anajua kuongoza.

Sent from my Phillips Savy
 
Juzi PM alipokuwa Mbozi kuna mama mkeleketwa wa chama kjana, aliandaa bango lakn alzuiwa asingie nalo kwa nguvu kubwa.
ni heri ayaone leo kuliko kumficha na kuja kuyaona 2020. Hapo nyie mliyoyafika mtakuja kuonekana wanafiki wakubwa
 
Kama ni hivyo atafuata yeye kutumbuliwa
 
Magufuli yupo busy analalama kuhusu mabango ila anayechukua picha ameelekeza video camera mezani kwa first lady tu. Hayo mabango surely hayakuwa yakimsifu na kumuabudu Malaika wetu.
Boss chunga usije kupimwa mkojo kwa kumuita "mungu" wa Lumumba malaika, huko ni kumshusha cheo na adhabu yake inaweza kuwa kupimwa mkojo!
 
Tatizo la mabango ya leo hayakuzungumzia shida za wananchi kama yale ya kigoma; haya ya leo ujumbe mkubwa ulikuwa ni kumuombea raisi, sasa raisi hapendi haya maombi....amekasirika na makasisi wote wa tabora wajiandae kutumbuliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulisikia kauli hii ya Magufuli dhidi ya waliobeba mabango mjini Tabora? Ingia kwenye link hii >>>>
ukitaka kayatandike mabango kwenye kitanda cha MKE WAKO??? duh hii hadi First Lady amestuka ametoa macho kweli kweli,hapo weka mziki,kama hauna break imekula kwako................lol.....
 
Halafu anasema mabango yanawakinga walio nyuma ya hayo mabango. Je, sio wale waliokuwa nyuma ya mabango hayo ndio ujumbe wao? Je, walionyesha kukerwa kwa kuzibwa na hayo mabango? Hata kama wakizibwa, si wanasikia labda kama kuna viziwi pia?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…