Wabeba mabango Tabora wamkera Rais Magufuli

Haa ha na siyasomi .. shushenI nitayafanyia kazi .. sasa ataonaje hizo kero jaman?

Halafu anawaambia watendaji wakasikilize kero za wananchi. Je haoni huko kero zitakuwa ni zile watendaji wanazopenda kuzisikia tu?
 
Halafu anasema mabango yanawakinga walio nyuma ya hayo mabango. Je, sio wale waliokuwa nyuma ya mabango hayo ndio ujumbe wao? Je, walionyesha kukerwa kwa kuzibwa na hayo mabango? Hata kama wakizibwa, si wanasikia labda kama kuna viziwi pia?
 
Hahahaha u0we mchochezii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…