Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,734
ngoja wataalamu waje...Hivi "Kubeba Box" ndo kufanyaje...? Huu msamiati umenipit kidoogo......!
Waliondoka na ndoto za kwenda kupata maisha bora huko ng'ambo. Baadhi yao waliondoka kwa mikogo mingi na kila mtu alijua kuwa wameondoka Bongo. Tuliwaaga kwa huzuni huku tukiwaonea wivu kuwa wenzetu wameukata kimaisha.
Sasa wamefika kwenye capitalist World na wameshindwa kutuzua. Wamejaribu mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu mpaka wengine wamejaribu kwa miaka kumi ila mwishowe wamekata tamaa na kuamua kurudi nyumbani Bongo.
Sasa tulitegemea watakaporudi warudi na mali walizochuma huko, ila mwisho wa siku wamerudi na ndoto tu za kuja kuanza kutengeneza maisha huku Bongo.
Tunawakaribisha sana nyumbani, Nyumbani mtu hafukuzwi. Nawakaribisha na wengine walioshindwa kutuzua huko ughaibuni mwache kubeba box mje hapa nchin tushirikiane kulijenga taifa. Sasa hivi opportunities nyingi zipo katika nchi zinazoendelea. Wenzetu wako saturated kwa kuwa wameshajitosheleza kwa kila kitu hivyo opportunity mpya sio nyingi na rahisi hasa kwa ngozi nyeusi.
Karibuni nyumbani wabeba box wooote... Njooni mumuone kaka yenu Le Mutuzi huku akitoa mfano wa kuigwa kwenye ujasilia mali...

Wakiwa huko mbelez we roho inakuuma sana eeh???Waliondoka na ndoto za kwenda kupata maisha bora huko ng'ambo. Baadhi yao waliondoka kwa mikogo mingi na kila mtu alijua kuwa wameondoka Bongo. Tuliwaaga kwa huzuni huku tukiwaonea wivu kuwa wenzetu wameukata kimaisha.
Sasa wamefika kwenye capitalist World na wameshindwa kutuzua. Wamejaribu mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu mpaka wengine wamejaribu kwa miaka kumi ila mwishowe wamekata tamaa na kuamua kurudi nyumbani Bongo.
Sasa tulitegemea watakaporudi warudi na mali walizochuma huko, ila mwisho wa siku wamerudi na ndoto tu za kuja kuanza kutengeneza maisha huku Bongo.
Tunawakaribisha sana nyumbani, Nyumbani mtu hafukuzwi. Nawakaribisha na wengine walioshindwa kutuzua huko ughaibuni mwache kubeba box mje hapa nchin tushirikiane kulijenga taifa. Sasa hivi opportunities nyingi zipo katika nchi zinazoendelea. Wenzetu wako saturated kwa kuwa wameshajitosheleza kwa kila kitu hivyo opportunity mpya sio nyingi na rahisi hasa kwa ngozi nyeusi.
Karibuni nyumbani wabeba box wooote... Njooni mumuone kaka yenu Le Mutuzi huku akitoa mfano wa kuigwa kwenye ujasilia mali...
Kazi za ovyo ovyo.Hivi "Kubeba Box" ndo kufanyaje...? Huu msamiati umenipit kidoogo......!
Huyu huyu ukimwambia siku unarudi atakwambia umletee simu, hivi wanadhani ni bure???Hii thread ya kikuda Sana watu huko nyumbani hatupendani figisu figisu nyingi Sana ukithubutu watakufanyia walichomfanyia Dr Ferdinand Masau (MAY GOD REST HIS HEART IN ETERNAL REPOSE) Bora ubaki kwa huku huku uwe Na dual citizenship Kama Agustino Mahiga au Bernad Membe. Over.
Huyu huyu ukimwambia siku unarudi atakwambia umletee simu, hivi wanadhani ni bure???
Hata ukimposa dada yake ata bure atakupa uende naeUnamletea Tu si unajua tena wabongo tulivyo tunakusifia machoni ila rohoni tunasuta
Hahaha eti niletee simu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu huyu ukimwambia siku unarudi atakwambia umletee simu, hivi wanadhani ni bure???
We hautaki simu?Hahaha eti niletee simu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni shiiiiiiida[emoji23] [emoji23]Hahaha eti niletee simu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uzi una ukweli mtupu huu.Waliondoka na ndoto za kwenda kupata maisha bora huko ng'ambo. Baadhi yao waliondoka kwa mikogo mingi na kila mtu alijua kuwa wameondoka Bongo. Tuliwaaga kwa huzuni huku tukiwaonea wivu kuwa wenzetu wameukata kimaisha.