kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 277
noti hizi mupyaa?
Watuhumiwa hao walikutwa kwenye chumba kimoja ambamo ndio walikuwa wakifanya shughuli hizo kwa muda mrefu hadi taarifa zikawafikia raia wema ambao waliiarifu polisi hadi kukamatwa kwao.
Sidhani kama ni noti mpya it takes time hadi watu waanze kutengeneza noti mpya kwanza inabidi wasistudy unless wanacapitalise advantage kwamba watu bado hawajazizoea noti mpya na itakuwa rahisi kuwachanganyia
mkuu fake zipo tayari kwenye mzunguko...
pia ni rahisi kuwachanganya watumiaji hasa wa mikoani hasa wakulima na wafugaji kwa sababu hawajazijua vizuri...
pia kuna watu hawajazipata wapo tayari kununua elfu kumi kwa 11,000 au buku kwa 1,200 hao ndio watz halisi
bongo tambarare kila kitu kinawezekanamkuu fake zipo tayari kwenye mzunguko...
pia ni rahisi kuwachanganya watumiaji hasa wa mikoani hasa wakulima na wafugaji kwa sababu hawajazijua vizuri...
pia kuna watu hawajazipata wapo tayari kununua elfu kumi kwa 11,000 au buku kwa 1,200 hao ndio watz halisi
bongo tambarare kila kitu kinawezekana
watu wanabeba sampuli wanaenda china wanatengenezewa copy
vyeti vya shule
insuarance cover notes
road licences
zote zipo mtaani zinachapishwa china
watu wanabeba sampuli wanaenda china wanatengenezewa copy
vyeti vya shule
insuarance cover notes
road licences
zote zipo mtaani zinachapishwa china
salaaaaale
nchi kwishen hv mchina anafanya hv kwa nchi zote duniani?
tatizo sio mchina kaka....tatizo ni wafanyabiashara...hivi unafikiri mfanya biashara ukiletewa the same nokia original lets say ni 50 dollars na fake ambayo ni karibia ifanane na original kwa 10 dollars atachukua ipi? hasa hawa wafanyabiashara wa hizi nchi zetu
njia za panya kama zipo nyingi inawezekanaMchina sio wa kulaumiwa,wakulaumiwa ni Serikali-all fake and counterfeits zinapita TRA(serikali) why wanapokea Tax? Uwezi pitisha conteina kwa njia za panya iweje matani na matani ya fake products and movies kwa mfano yanaingizwa kila kukicha apa Tanzania na TRA awafanyi kitu?
Zipo mpaka fake dolars,so Serikali yetu inatakiwa kuwa na kitengo cha kuchunguza haya.Na ata uko China awawezi print note chache lazima ziwe nying so sio kitu cha mtu mmoja ni makundi ya watu!
Pia wanaweza ata kuwa awa awa wawekezaji toka China tena uwenda wakawa wanazichapisha apa apa Bongo,kwani aiji akilini mchina auaza maua ya plastik,ana endesha vogue na anaishi Masaki kodi dola 5000 kwa mwezi kwa biashara ya maua ya plastic!
Tanzania ni shamba la bibi na litaendelea kuwa Shamba la bibi.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.....